Nyerere alipigana Vita vya Kagera, Magufuli anapigana Vita ya Corona. Tumuombee

Anapigana vita na adui ambaye anaamini hayupo, huo si ni uendawazima
 
Watu km nyie ndio mnaharibu taifa nzima akili zako hazipambanui jambo
 

Magufuli anapigana vita ya kiuchumi - kwa kauli yake mwenyewe. Hiyo ya corona unamzushia.
 
Magufuli leo mpk kesho atabaki kuwa ni jemedari mshindi,hata kama atafia vitani,lkn baado atabaki kuwa shujaa wa taifa letu,yupo mstari wa mbele katkti ya adui akitimiza majukumu yake bira uoga,ameonyesha ni kamanda asie mwoga,
 
Nani amuombee dhalimu? 😳😳😳😳😳😳
 
Tumuombee kuhusu nini Alisema hamna Corona na tumekubali kuwa hamna Hii Habari ya Vita wewe umeitoa wapi [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…