Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?

Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza kupinga hadharani ubinafisishwaji wa NBC japo kuwa hoja yake haikusikilizwa, ila hakukamatwa,

DPW, imekuwa ni mdudu gani kwa kila mwenye kupinga aonekane ni mhaini kiasi cha kusakwa na kukamatwa? Au kuna lile hatulijui?

Hii ni nchi yetu sote, hata hao Warabu wanatushangaa, na dunia inatushangaa ni kivipi tunapelekana magerezani ili hali yale yanayofanya tufikie hapo ni wageni tu wanaotaka kuwekeza nchini kwetu?

Naishauri serikali, Idili kwenye kutatua shida za wananchi

Umeme unakatika hovyo, maji ya mgao, huduma mbovu mahospitalini, maofisini watu wanalala tu kusubiri posho, wananchi hawasikilizwi na kutatuliwa shida zao bila rushwa!
 
TATHIMINI YA HUKUMU YA KESI YA BANDARI

Kimantiki WALIOSHINDA ni wa WALALAMIKAJI kwani Mahakama Kuu imekiri Mkataba wa IGA una mapungufu kadhaa;

1. Umevunja Sheria za Natural Wealth and Resources, Sura za 449 na 450 za 2017 ambazo zimekataza Migogoro juu ya uwekezaji kwenye rasilimali isipelekwe Nje ya Nchi na isitumie sheria za nje kutatua Migogoro hiyo.

IGA imesema Migogoro itatatuliwa Afrika Kusini na sheria za Uingereza ndizo zitatumika.

2. Mahakama imeshangaa inakuwaje IGA inatumia sheria za Uingereza na mgogoro utapelekwa Afrika Kusini wakati HGA zitatumia sheria za ndani na mahakama za ndani.

3. Mahakama imekiri Tangazo la Bunge la saa 23 kualika maoni ya Wananchi ulikuwa ni muda mfupi sana na kwamba inaondoa mantiki ya Public Constitution.

4. Mahakama imekiri pia Dubai haina Legal Personality katika Sheria za Kimataifa (Montevideo Convention na Vienna Convention) kwani inakosa Sovereignty.

5. Mahakama imetilia mashaka imekuwaje Dubai amesaini IGA wakati haina kigezo muhimu cha Sovereignty.

6. Mahakama imeshangaa inakuwaje Mkataba wa IGA umekosa ukomo wa muda wake.

7. Pia Mahakama imekiri kwamba kitendo cha IGA kusema haitawezekana kujitoa hata kama kuna Uvunjifu mkubwa wa Masharti yake, kwamba ni dosari kubwa na kwamba inakiuka hata Vienna Convention ambayo Serikali ilijikita sana kuutumia kama rejea kujenga hoja kwamba IGA ni International agreement.

B: Katika Public Interests Litigation and Advocacy, sisi tumeshinda zaidi kwa sababu hizi;

1. Uwepo wa Kesi hii Mbeya, imehamisha Mjadala wa Kitaifa kuelekeza macho yote Mbeya. Wananchi kutoka kona zote za Nchi wamekuwa wamifuatilia yanayojiri Mahakama Kuu - Mbeya.

2. Kesi hii imewafanya Wakazi wa Mbeya waliofika Mahakamani kupata uelewa mkubwa zaidi (Awareness) juu ya Undani wa Mkataba huo na tafsiri ya Vifungu vyake kadiri ya Hoja za Pande mbili katika mnyukano ndani ya Mahakama.

3. Kesi hii imehamisha Mamlaka za Nchi kuelekeza macho na masikio yake Jijini Mbeya. Katika ya uwepo wa kesi hii Mbeya, Makamu wa Rais Dr. Mpango amefika Mbeya, Waziri Mkuu Majaliwa amefika Mbeya na Rais amefika Mbeya pia.

Hii imeenda sambamba na Mawaziri wengi kufika jijini Mbeya pamoja na Viongozi wengine wakubwa katika Taasisi za Umma, bila kusahau Mkutano mkubwa wa Kanda wa CCM kukutanisha Mikoa mitano na Viongozi wake wote wa Chama na Serikali, umefaika Mbeya.

SPIKA wa Bunge Tulia Ackson pia ameendelea kufanya mikutano mingi sana katika Kata mbalimbali za Jiji la Mbeya, akijitetea na kufafanua mambo kadhaa yaliyopelekwa Mahakamani.

4. Kesi hii imethibitisha Wasiwasi wa Watanzania katika mkataba wa IGA na rasmi Mahakama imeungana na Wananchi kuonyesha dosari zote zilizoibua Mjadala miongoni mwa Watanzania.

Kwa Kesi hii na Hukumu ya Mahakama, wale waliosema Mkataba wa IGA uko "perfect" hauna dosari na unafaa kwa kila namna, wamekanushwa rasmi.

5. Kesi hii na Hukumu yake zimesaidia kuonyesha kwamba Waliofungua Kesi, Mawakili wao pamoja na Watanzania waliounga mkono kesi hiyo, walikuwa na Nia njema na wamekuwa na hoja zenye mashiko kuliko waliobeza na kuwatukana.

Aibu imfikie RC JUMA HOMERA wa Mkoa wa Mbeya na wengine waliojaribu kutumia nguvu nyingi kuutasaka Mkataba wa IGA na kuutetea kwamba ni Mkataba bora. Mahakama imewapiga breki rasmi. Wajitathimini!

6. Kesi ya Bandari imesaidia kurejesha Umoja na Ushikiano wa Wananchi katika jambo linalowahusu. Watu wamechangia hela zao kusaidia kesi hiyo kuanzia mwanzo hadi mwisho. Utanganyika umeimarika na kuthibitika kwa mara nyingine baada ya G55.

Dosari za Muungano zimeendelea kuonyeshwa katika uwazi zaidi kipindi hiki.

7. Kesi hii imesaidia kuondoa Matabaka na migawanyiko ya Jamii ya Watanzania kisiasa na kidini. Kesi hii imewavuta Wananchi katika UTANZANIA wao bila kuangalia dini zao wala itikadi za kisiasa. Waliochangia na kutoa maoni yao hawakujizuia kwa sababu za tofauti za namna hiyo.

Watu walisimama kwa mantiki ya Kulinda Rasilimali zao!

KWAHIYO, Serikali imeshinda KISIASA Walalamikaji/Wananchi wameshinda KISHERIA na KIMANTIKI.

C: Kesi hii imedokeza Hoja muhimu ya UHURU WA MAHAKAMA nchini Tanzania;

1. Imekumbusha Kauli ya Hayati Rais JPM aliyesema Mihimili mmoja (Executive) ni mkubwa zaidi umejichimbia mizizi chini zaidi na una nguvu dhidi ya mihimili mingine.

2. Imekumbusha pia Kauli ya JAJI MKUU wa Tanzania, Mhe. Prof. IBRAHIM JUMA alipotamka mbele ya umma kwamba, Mahakama zetu Tanzania zinapotoa Hukumu ziangalie Mihimili mingine inasema nini au inataka nini.

3. Imeonyesha jinsi ambavyo Mahakama ya Tanzania inaiogopa Serikali na Bunge, na haijavaa ipasavyo Mamlaka yake chini ya Ibara ya 107A.

Mahakama yetu inatoa AMRI kwa kesi zinazohusu mashauri/Kesi binafsi, ila haipo tayari kuvaa viatu vyake kutoa Amri dhidi ya Mihimili mingine inapotenda makosa au dosari katika majukumu yake.

4. Imeibua hoja kwamba Mfumo wetu wa Check and Balance ni KILEMA na hauna afya kwa maendeleo ya nchi yetu.

5. Imekumbusha umuhimu wa Kuanzisha Taasisi imara katika mfumo wa Check and Balance katika Mihimili yetu mitatu (Bunge, Serikali na Mahakama).

6. Imesaidia kuwaonyesha Watanzania kwamba kuna wakati ni rahisi Mihimili yote kula njama (collusion) kulindana katika Maovu ya Watawala na Wawakilishi wa Wananchi.

7. Imesaidia kuonyesha tatizo la msingi la Watawala wetu wanapoenda Kuzungumza na Kuingia mikataba, wanajiongoza kama vile Nchi yao haina Sheria na wanajiongoza bila mipaka kiasi kwamba wanaweza kusaini mikataba inayokiuka Sheria za Nchi yetu. Hii ni dosari ya hatari sana.

Kesi hii imewakumbusha Wanasiasa Viongozi wetu kwamba nchi hii ina Katiba na Sheria, wasijisahau sana wakatiririka bila mipaka.

8. Imeibua tahadhari kwa Watanzania kwamba kuna "Mentality" ya Watawala wetu kwamba wanaweza kuvunja Sheria na Katiba yetu kwa Mgongo wa kuwa Wamesaini Mkataba wa Kimataifa ambao hautakiwi kupimwa au kuhojiwa kwa Sheria za ndani ya Nchi yetu.

Mentality hii ilijengewa Utetezi mkubwa sana na Mawakili wa Serikali katika Hoja zao ndani ya Mahakama. Hii ni hatari sana.

Kesi hii inawakumbusha Mawakili wa Serikali kuwakumbusha Viongozi wetu Mipaka yao katika kila tendo na hatua ndani au nje ya nchi, wajue Katiba na Sheria zetu ndio Kipimo chao na Kioo cha Kujitazama.

Mawakili wa Serikali wawakumbushe Viongozi wetu kwamba Sheria za Kimataifa au International Agreement sio Kichaka cha Kukanyaga na kutweza Katiba na Sheria zetu.

D: Zaidi ya yote, Tanzania imeshinda dhidi ya Mikataba yenye sura za ugandamizaji katika Ulimwengu wa Ushindani wa Kibiashara na Ujasusi wa Maendeleo ya Kibepari;

1. Watanzania kupitia Kesi hii ya Mkataba wa Bandari, wamepata nafasi ya kukumbushana juu ya Uwepo wa Matabaka ya Dunia ya Kwanza na ya Pili, na Setting ya Uchumi wa Dunia kati ya Matabaka hayo.

2. Watanzania wamejikumbusha kwamba Wazungu na Waarabu wanapokuja kwetu, sio Wajomba au Shangazi zetu wanaokuja kwa lengo au mantiki ya kutuletea Maendeleo, bali wamekuja kusaka Utajiri kwaajili ya Maendeleo yao.

3. Watanzania wamejikumbusha kwamba katika Matabaka ya Dunia, tunapokutana na jamii ya Matabaka hayo tunahitaji kuwa Makini zaidi, kusimama na maslahi ya Taifa sio kuwapa Imani watu ambao sio ndugu zenu.

4. Tumejikumbusha kwamba, tunaposaini Mikataba tushiriki kuandika katika Ukamilifu ili Mambo muhimu yote yawepo na Mkataba unatakiwa Kujitetea wenyewe bila kusubiri Mikutano ya Chama kuzunguka nchi nzima kuutetea ubora au wema wake.

5. Tumejikumbusha pia kwamba Serikali ni WATU, ni Binadamu. Wanakosea na kupitiwa kama Binadamu wengine. Kwenye Mkataba wa IGA Serikali ilitereza na isimame upya kwa makini ili Tanzania ipate vitu bora kutoka huko Duniani.

6. Watanzania wamepata kujua TABIA ya DP WORLD huko duniani, pale inapokutana na Mataifa ya Matabaka ya juu (Sweden, UK, USA) na inapokutana na Mataifa ya tabaka la chini kama Tanzania, Djibouti, Somalia, nk.

Hii itasaidia kuongeza umakini zaidi tunapodili na watu wa aina hiyo kwa kujifunza kwa wenzetu wanyonge na wenye nguvu.

Hii itasaidia kuwachambua na kuwachunguza kabla ya kuingia kwenye Mikataba.

SISI NI TAIFA MOJA.

KESI HII IMETUMIKA KAMA NJIA YA KUREKEBISHANA KWA NIA MOJA YA KUJENGA TAIFA LA TANZANIA.

Hatuhitaji kutazamana usoni kwa Chuki, Hasira au Nia ovu na kutakiana mabaya.

Penye marekebisho muhimu tukarekebishe IGA ili kuweka nyaraka bora kwa maendeleo yetu sote.

Adv. Livino Ngalimitumba
 
Kauli iliyoongewa na aliyekamatwa na wakamataji havina ushirikiano maana hamna jinai yoyote aliyotenda
Serikali wanaonea wananchi kwa sababu za kisiasa
 
Usipotoshe watanzania kwa maslahi yako, muhtasari wa uamuzi wa mahakama ni km ufuatavyo:
  • Madai yaliyotolewa uamuzi na mahakama hiyo ni pamoja na: Kama ibara ya 2, 4(2)... zinakiuka Ibara namba 1, 8 na 28(1) na (3) za Katiba ya nchi na pia kama IGA ni mkataba kwa muktadha wa Sheria ya Mikataba.
  • Katika madai hayo mahakama imesema IGA si mkataba unaoweza kusimamiwa na sheria ya mkataba.
  • “Mahakama imekubali kuwa Dubai ina mamlaka ya kuingia mikataba kama hiyo. Walalamikaji hawajaeleza kama Dubai imezuiliwa kuingia mkataba wa ushirikiano wa uwekezaji kwani ni suala la ushahidi,”
  • Kuhusu kama IGA inakiuka kifungu cha 64 cha Sheria ya Manunuzi, mahakama imesema; “mahakama imeikataa hoja hiyo ikisema IGA ni mkataba wa kimataifa na kwamba katika mkataba huo hakuna manunuzi yaliyofanyika. Kama walalamikaji wakiona TPA (Mamlaka ya Bandari) iliingia katika manunuzi basi walipaswa kuiunganisha TPA katika kesi hii, kwa hiyo hoja nayo Mahakama imeikataa.”
  • Kuhusu kama umma uliarifiwa na kupewa muda wa kutosha kutoa maoni yao mahakama imesema: “mahakama inatambua Ibara ya 63 inaipa Bunge mamlaka ya kuridhia mikataba ya kimataifa kama ilivyo IGA. Mahakama haikubaliana katika mazingira ya sasa, njia iliyotumiwa kutoa taarifa kwa mitandao ni sahihi.
  • “Msimamo wa mahakama ni kwamba Bunge halipaswi kuingiliwa katika utendaji wake wa kazi wa ndani, msimamo ambao umetokana na maamuzi ya kesi mbalimbali za nje.”
  • “Na hitimisho letu kwamba, licha ya athari za utaratibu lakini tunajizuia kuona kama upungufu huo uliathiri mkataba huo. Mahakama inajizuia kuvuka mipaka yake. Hivyo hoja hii pia mahakama imekataa,”
  • “Tunakubali kwamba Ibara ya 20 (1) ya IGA inakiuka Sheria za Ulinzi wa Raslimali maana inataka hata mikataba itakayosainiwa ya utekelezaji wa miradi migogoro ipelekwe nje. Tumeshangaa kwa nini uandishi huo wa Ibara hiyo. Hata hivyo Ibara ya 22 ya IGA inatoa nafasi ya kufanya marekebisho hivyo kasoro ndogo hiyo haiwezi kuufanya mkataba kuwa batili.
  • “Kama baadhi ya ibara zinakiuka mamlaka ya hadhi ya nchi, tafsiri siyo sahihi. Kukiukwa ulinzi na usalama ni tafsiri isiyo sahihi maana Ibara ya 28 inahusu uvamizi wa kivita hivyo tunaikataa,” amesema.
  • Kwa ujumla tunaamua kuwa malalamiko yaliyoletwa na walalamikaji hayana mashiko na tunayatupilia mbali. Kwa hiyo kwa uamuzi huo mkataba wa IGA ni halali,”
SASA HIYO MAHAKAMA UNAYOIZUNGUMZIA NI IPI, AU MNA MAHAKAMA YENU NYINGINE HUKO MTAANI? MKOME KUPOTOSHA WATANZANIA
 
Amekwambia kafanya tathimini yake wala hajasema anaweka muhtasari wa hukumu mbona mmechanganyikiwa?
 
TATHIMINI YA HUKUMU YA KESI YA BANDARI

Kimantiki WALIOSHINDA ni wa WALALAMIKAJI kwani Mahakama Kuu imekiri Mkataba wa IGA una mapungufu kadhaa;

1. Umevunja Sheria za Natural Wealth and Resources, Sura za 449 na 450 za 2017 ambazo zimekataza Migogoro juu ya uwekezaji kwenye rasilimali isipelekwe Nje ya Nchi na isitumie sheria za nje kutatua Migogoro hiyo.

IGA imesema Migogoro itatatuliwa Afrika Kusini na sheria za Uingereza ndizo zitatumika.

2. Mahakama imeshangaa inakuwaje IGA inatumia sheria za Uingereza na mgogoro utapelekwa Afrika Kusini wakati HGA zitatumia sheria za ndani na mahakama za ndani.

3. Mahakama imekiri Tangazo la Bunge la saa 23 kualika maoni ya Wananchi ulikuwa ni muda mfupi sana na kwamba inaondoa mantiki ya Public Constitution.

4. Mahakama imekiri pia Dubai haina Legal Personality katika Sheria za Kimataifa (Montevideo Convention na Vienna Convention) kwani inakosa Sovereignty.

5. Mahakama imetilia mashaka imekuwaje Dubai amesaini IGA wakati haina kigezo muhimu cha Sovereignty.

6. Mahakama imeshangaa inakuwaje Mkataba wa IGA umekosa ukomo wa muda wake.

7. Pia Mahakama imekiri kwamba kitendo cha IGA kusema haitawezekana kujitoa hata kama kuna Uvunjifu mkubwa wa Masharti yake, kwamba ni dosari kubwa na kwamba inakiuka hata Vienna Convention ambayo Serikali ilijikita sana kuutumia kama rejea kujenga hoja kwamba IGA ni International agreement.

B: Katika Public Interests Litigation and Advocacy, sisi tumeshinda zaidi kwa sababu hizi;

1. Uwepo wa Kesi hii Mbeya, imehamisha Mjadala wa Kitaifa kuelekeza macho yote Mbeya. Wananchi kutoka kona zote za Nchi wamekuwa wamifuatilia yanayojiri Mahakama Kuu - Mbeya.

2. Kesi hii imewafanya Wakazi wa Mbeya waliofika Mahakamani kupata uelewa mkubwa zaidi (Awareness) juu ya Undani wa Mkataba huo na tafsiri ya Vifungu vyake kadiri ya Hoja za Pande mbili katika mnyukano ndani ya Mahakama.

3. Kesi hii imehamisha Mamlaka za Nchi kuelekeza macho na masikio yake Jijini Mbeya. Katika ya uwepo wa kesi hii Mbeya, Makamu wa Rais Dr. Mpango amefika Mbeya, Waziri Mkuu Majaliwa amefika Mbeya na Rais amefika Mbeya pia.

Hii imeenda sambamba na Mawaziri wengi kufika jijini Mbeya pamoja na Viongozi wengine wakubwa katika Taasisi za Umma, bila kusahau Mkutano mkubwa wa Kanda wa CCM kukutanisha Mikoa mitano na Viongozi wake wote wa Chama na Serikali, umefaika Mbeya.

SPIKA wa Bunge Tulia Ackson pia ameendelea kufanya mikutano mingi sana katika Kata mbalimbali za Jiji la Mbeya, akijitetea na kufafanua mambo kadhaa yaliyopelekwa Mahakamani.

4. Kesi hii imethibitisha Wasiwasi wa Watanzania katika mkataba wa IGA na rasmi Mahakama imeungana na Wananchi kuonyesha dosari zote zilizoibua Mjadala miongoni mwa Watanzania.

Kwa Kesi hii na Hukumu ya Mahakama, wale waliosema Mkataba wa IGA uko "perfect" hauna dosari na unafaa kwa kila namna, wamekanushwa rasmi.

5. Kesi hii na Hukumu yake zimesaidia kuonyesha kwamba Waliofungua Kesi, Mawakili wao pamoja na Watanzania waliounga mkono kesi hiyo, walikuwa na Nia njema na wamekuwa na hoja zenye mashiko kuliko waliobeza na kuwatukana.

Aibu imfikie RC JUMA HOMERA wa Mkoa wa Mbeya na wengine waliojaribu kutumia nguvu nyingi kuutasaka Mkataba wa IGA na kuutetea kwamba ni Mkataba bora. Mahakama imewapiga breki rasmi. Wajitathimini!

6. Kesi ya Bandari imesaidia kurejesha Umoja na Ushikiano wa Wananchi katika jambo linalowahusu. Watu wamechangia hela zao kusaidia kesi hiyo kuanzia mwanzo hadi mwisho. Utanganyika umeimarika na kuthibitika kwa mara nyingine baada ya G55.

Dosari za Muungano zimeendelea kuonyeshwa katika uwazi zaidi kipindi hiki.

7. Kesi hii imesaidia kuondoa Matabaka na migawanyiko ya Jamii ya Watanzania kisiasa na kidini. Kesi hii imewavuta Wananchi katika UTANZANIA wao bila kuangalia dini zao wala itikadi za kisiasa. Waliochangia na kutoa maoni yao hawakujizuia kwa sababu za tofauti za namna hiyo.

Watu walisimama kwa mantiki ya Kulinda Rasilimali zao!

KWAHIYO, Serikali imeshinda KISIASA Walalamikaji/Wananchi wameshinda KISHERIA na KIMANTIKI.

C: Kesi hii imedokeza Hoja muhimu ya UHURU WA MAHAKAMA nchini Tanzania;

1. Imekumbusha Kauli ya Hayati Rais JPM aliyesema Mihimili mmoja (Executive) ni mkubwa zaidi umejichimbia mizizi chini zaidi na una nguvu dhidi ya mihimili mingine.

2. Imekumbusha pia Kauli ya JAJI MKUU wa Tanzania, Mhe. Prof. IBRAHIM JUMA alipotamka mbele ya umma kwamba, Mahakama zetu Tanzania zinapotoa Hukumu ziangalie Mihimili mingine inasema nini au inataka nini.

3. Imeonyesha jinsi ambavyo Mahakama ya Tanzania inaiogopa Serikali na Bunge, na haijavaa ipasavyo Mamlaka yake chini ya Ibara ya 107A.

Mahakama yetu inatoa AMRI kwa kesi zinazohusu mashauri/Kesi binafsi, ila haipo tayari kuvaa viatu vyake kutoa Amri dhidi ya Mihimili mingine inapotenda makosa au dosari katika majukumu yake.

4. Imeibua hoja kwamba Mfumo wetu wa Check and Balance ni KILEMA na hauna afya kwa maendeleo ya nchi yetu.

5. Imekumbusha umuhimu wa Kuanzisha Taasisi imara katika mfumo wa Check and Balance katika Mihimili yetu mitatu (Bunge, Serikali na Mahakama).

6. Imesaidia kuwaonyesha Watanzania kwamba kuna wakati ni rahisi Mihimili yote kula njama (collusion) kulindana katika Maovu ya Watawala na Wawakilishi wa Wananchi.

7. Imesaidia kuonyesha tatizo la msingi la Watawala wetu wanapoenda Kuzungumza na Kuingia mikataba, wanajiongoza kama vile Nchi yao haina Sheria na wanajiongoza bila mipaka kiasi kwamba wanaweza kusaini mikataba inayokiuka Sheria za Nchi yetu. Hii ni dosari ya hatari sana.

Kesi hii imewakumbusha Wanasiasa Viongozi wetu kwamba nchi hii ina Katiba na Sheria, wasijisahau sana wakatiririka bila mipaka.

8. Imeibua tahadhari kwa Watanzania kwamba kuna "Mentality" ya Watawala wetu kwamba wanaweza kuvunja Sheria na Katiba yetu kwa Mgongo wa kuwa Wamesaini Mkataba wa Kimataifa ambao hautakiwi kupimwa au kuhojiwa kwa Sheria za ndani ya Nchi yetu.

Mentality hii ilijengewa Utetezi mkubwa sana na Mawakili wa Serikali katika Hoja zao ndani ya Mahakama. Hii ni hatari sana.

Kesi hii inawakumbusha Mawakili wa Serikali kuwakumbusha Viongozi wetu Mipaka yao katika kila tendo na hatua ndani au nje ya nchi, wajue Katiba na Sheria zetu ndio Kipimo chao na Kioo cha Kujitazama.

Mawakili wa Serikali wawakumbushe Viongozi wetu kwamba Sheria za Kimataifa au International Agreement sio Kichaka cha Kukanyaga na kutweza Katiba na Sheria zetu.

D: Zaidi ya yote, Tanzania imeshinda dhidi ya Mikataba yenye sura za ugandamizaji katika Ulimwengu wa Ushindani wa Kibiashara na Ujasusi wa Maendeleo ya Kibepari;

1. Watanzania kupitia Kesi hii ya Mkataba wa Bandari, wamepata nafasi ya kukumbushana juu ya Uwepo wa Matabaka ya Dunia ya Kwanza na ya Pili, na Setting ya Uchumi wa Dunia kati ya Matabaka hayo.

2. Watanzania wamejikumbusha kwamba Wazungu na Waarabu wanapokuja kwetu, sio Wajomba au Shangazi zetu wanaokuja kwa lengo au mantiki ya kutuletea Maendeleo, bali wamekuja kusaka Utajiri kwaajili ya Maendeleo yao.

3. Watanzania wamejikumbusha kwamba katika Matabaka ya Dunia, tunapokutana na jamii ya Matabaka hayo tunahitaji kuwa Makini zaidi, kusimama na maslahi ya Taifa sio kuwapa Imani watu ambao sio ndugu zenu.

4. Tumejikumbusha kwamba, tunaposaini Mikataba tushiriki kuandika katika Ukamilifu ili Mambo muhimu yote yawepo na Mkataba unatakiwa Kujitetea wenyewe bila kusubiri Mikutano ya Chama kuzunguka nchi nzima kuutetea ubora au wema wake.

5. Tumejikumbusha pia kwamba Serikali ni WATU, ni Binadamu. Wanakosea na kupitiwa kama Binadamu wengine. Kwenye Mkataba wa IGA Serikali ilitereza na isimame upya kwa makini ili Tanzania ipate vitu bora kutoka huko Duniani.

6. Watanzania wamepata kujua TABIA ya DP WORLD huko duniani, pale inapokutana na Mataifa ya Matabaka ya juu (Sweden, UK, USA) na inapokutana na Mataifa ya tabaka la chini kama Tanzania, Djibouti, Somalia, nk.

Hii itasaidia kuongeza umakini zaidi tunapodili na watu wa aina hiyo kwa kujifunza kwa wenzetu wanyonge na wenye nguvu.

Hii itasaidia kuwachambua na kuwachunguza kabla ya kuingia kwenye Mikataba.

SISI NI TAIFA MOJA.

KESI HII IMETUMIKA KAMA NJIA YA KUREKEBISHANA KWA NIA MOJA YA KUJENGA TAIFA LA TANZANIA.

Hatuhitaji kutazamana usoni kwa Chuki, Hasira au Nia ovu na kutakiana mabaya.

Penye marekebisho muhimu tukarekebishe IGA ili kuweka nyaraka bora kwa maendeleo yetu sote.

Adv. Livino Ngalimitumba
hii case kwa nature yake nilivyo isoma nazani ili bidi ifunguliwe international court of justice na sio kwenye mahakama zetu, hazina jurisdiction ya kudeal na ilo swala pia uko ICj solution itayo tokea ni through agreements tu pande zote wakae chini warekebishe vitu vya kijinga vilivyo kubaliwa na ma nyumbu pale state House
 
Watawala wanayataka maendeleo kuliko wanaotawaliwa, na wako tayari kufanya lolote kuyaleta. Au DP world wana picha zetu za faragha jinsi tunavyowapbania
 
President Nyerere aliitisha press conference na kumsimanga sitting President Mwinyi kwa tuhuma za kuigeuza state house kama pango la wafanyabiashara, pia alikwenda so low na kumtukana sitting President kuwa anamsikiliza sana kimaamuzi mke wake(mama sitti mwinyi),maisha ya kawaida kwa Nyerere yaliendelea,hakuna push back from state house au central police station, na tujikumbushe kuwa PM Malecela alipoteza wadhifa huu kwa kitabu kilichotungwa na Nyerere!!,Time ni mwamuzi wa haki
 
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?

Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza kupinga hadharani ubinafisishwaji wa NBC japo kuwa hoja yake haikusikilizwa, ila hakukamatwa,

DPW, imekuwa ni mdudu gani kwa kila mwenye kupinga aonekane ni mhaini kiasi cha kusakwa na kukamatwa? Au kuna lile hatulijui?

Hii ni nchi yetu sote, hata hao Warabu wanatushangaa, na dunia inatushangaa ni kivipi tunapelekana magerezani ili hali yale yanayofanya tufikie hapo ni wageni tu wanaotaka kuwekeza nchini kwetu?

Naishauri serikali, Idili kwenye kutatua shida za wananchi

Umeme unakatika hovyo, maji ya mgao, huduma mbovu mahospitalini, maofisini watu wanalala tu kusubiri posho, wananchi hawasikilizwi na kutatuliwa shida zao bila rushwa!
MAMBO YA AJABU SANA
 
Inashangaza sana aisee, viongozi wetu wanachokifanya ni uonezi tu kwa wananchi
 
Mzee Nyerere alipinga na kukosoa ubinafsishaji, lakini hakufanikiwa kuuona mwaka 2000.
Doh!

Mawazo ya Mungu kuhusu ukomo wa uhai wako na ama yeyote, anajua yeye peke yake, huwenda wewe usiione kesho,

Ulichokiongea wewe hakiondoi hoja kwamba, Nyerere alipinga kubinafisishwa kwa NBC
 
1) Nyerere alihamasisha NGUVU YA UMMA dhidi ya Mkapa?
2) Nyerere alishinikiza rais asitishe ubinafsishaji ambao Mkapa aliona ni kwa maslahi ya umma(wakati ule)?
UMETOA MFANO MZURI!
NB: CHADEMA DAIMA, ILA KWA HILI SIWI NYUMBU, KAMA AMBAVYO VIONGOZI WANGU WENGINE WANAHOJI MARIDHIANO!
 
Doh!

Mawazo ya Mungu kuhusu ukomo wa uhai wako na ama yeyote, anajua yeye peke yake, huwenda wewe usiione kesho,

Ulichokiongea wewe hakiondoi hoja kwamba, Nyerere alipinga kubinafisishwa kwa NBC
Ukweli mchungu ni kwamba Mzee wetu alipinga ubinafsishaji lakini alizidiwa nguvu na watu aliowaweka yeye mwenyewe akitegemea wangefanya mabadiliko. Kiufupi aligeukwa vibaya hata mwenyewe hakuamini. Muhimu kukumbuka ni kwamba aina ile ile ya watu ambao walikuwepo kipindi kile, hadi leo hii wapo, tena wamejazana hadi Ikulu. Kuweni makini sana, Tanzania imevamiwa na maharamia.....
 
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?

Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza kupinga hadharani ubinafisishwaji wa NBC japo kuwa hoja yake haikusikilizwa, ila hakukamatwa,

DPW, imekuwa ni mdudu gani kwa kila mwenye kupinga aonekane ni mhaini kiasi cha kusakwa na kukamatwa? Au kuna lile hatulijui?

Hii ni nchi yetu sote, hata hao Warabu wanatushangaa, na dunia inatushangaa ni kivipi tunapelekana magerezani ili hali yale yanayofanya tufikie hapo ni wageni tu wanaotaka kuwekeza nchini kwetu?

Naishauri serikali, Idili kwenye kutatua shida za wananchi

Umeme unakatika hovyo, maji ya mgao, huduma mbovu mahospitalini, maofisini watu wanalala tu kusubiri posho, wananchi hawasikilizwi na kutatuliwa shida zao bila rushwa!
Ndiyo alipinga lakini hakuchochea watu waandamane wala kutamka kumuondoa rais. Na tafadhali mkuu usimlinganishe Nyerere na hawa wajinga
 
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?

Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza kupinga hadharani ubinafisishwaji wa NBC japo kuwa hoja yake haikusikilizwa, ila hakukamatwa,

DPW, imekuwa ni mdudu gani kwa kila mwenye kupinga aonekane ni mhaini kiasi cha kusakwa na kukamatwa? Au kuna lile hatulijui?

Hii ni nchi yetu sote, hata hao Warabu wanatushangaa, na dunia inatushangaa ni kivipi tunapelekana magerezani ili hali yale yanayofanya tufikie hapo ni wageni tu wanaotaka kuwekeza nchini kwetu?

Naishauri serikali, Idili kwenye kutatua shida za wananchi

Umeme unakatika hovyo, maji ya mgao, huduma mbovu mahospitalini, maofisini watu wanalala tu kusubiri posho, wananchi hawasikilizwi na kutatuliwa shida zao bila rushwa!
Sijawahi kuona nyerere akipinga hilo. Si kweli.

Kwani sababu za kukamatwa huzijuwi?

Hongera kwa Wambura.
 
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?

Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza kupinga hadharani ubinafisishwaji wa NBC japo kuwa hoja yake haikusikilizwa, ila hakukamatwa,

DPW, imekuwa ni mdudu gani kwa kila mwenye kupinga aonekane ni mhaini kiasi cha kusakwa na kukamatwa? Au kuna lile hatulijui?

Hii ni nchi yetu sote, hata hao Warabu wanatushangaa, na dunia inatushangaa ni kivipi tunapelekana magerezani ili hali yale yanayofanya tufikie hapo ni wageni tu wanaotaka kuwekeza nchini kwetu?

Naishauri serikali, Idili kwenye kutatua shida za wananchi

Umeme unakatika hovyo, maji ya mgao, huduma mbovu mahospitalini, maofisini watu wanalala tu kusubiri posho, wananchi hawasikilizwi na kutatuliwa shida zao bila rushwa!
Hakuwahi itisha Maandamano ya kuiangisha Serikali Wala kuhubiri Tanganyika na Zanzibar kujitenga.

Hakuna utetezi Kwa wahaini
 
Back
Top Bottom