Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

Nyuma ya DP world kuna USA na UK
Ngoma ngumu hii
Lengo ni kutompa China nafasi ya kujimilikisha EA
 

huyo huyo nyerere alidhulumu nyumba za watu tanzania nzima na kuwapa NHC na wengi waliodhulumiwa walifariki kwa presha nyumba zilijengwa zingine hata yeye hajazaliwa zingine zilijengwa kabla ya uhuru ni hii dhambi inaendelea kumtafuna yeye akiwa chini na kuitafuna nchi
 
Nyerere alikua zaidi ya mzalendo na mm naamini angekua hai Muungano angekua alishauvunja zaman sana na hata ccm yenyewe isingekuwepo.lkn nimesikia mtumishi Mwakasege yupo dodoma now kwenye kongamano la maombi ya nchi kwamba nyakati za mabadiliko zimekuja na zimeshafika hakuna wa kuzuia tutashuudia maajabu kwenye siasa za nchi hii
 
Ahsante sana!

Nasemaje; humu, jf, ukiingia kichwa kichwa kuna mambo ya ajabu sana. Watu wanapotosha kweli kweli kwa malengo yao binafsi.
 
Sasa Nyerere unamfananisha na hizi takataka?!!!!!
 
Huyu ni yule Etwege tunayemjua au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…