Leo wakienda wanapokelewa na wajumbe wa sijui niseme nyumba kumi kumi au serikali za mitaa.Hapa ni Merakani; angalia alivyopokelewa kwa heshima ya kijeshi. Hakuna kiongozi mwingie wa Tanzania aliyewahi kupokelewa kijeshi Marekani kama huyu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aF3CHxwhObE
Hiyo ya Kwame kucheza akimgusa Queen haikukiuka itifaki?Baada ya Uhuru, Malkia wa Uingereza alitembelea nchi chache sana za Afrika akiwa Malkia. Alikwenda Uganda kwa ajili tu ya mkutano wa Commonwealth mwaka 2007 kwa vile yeye ndiye mwenyekiti wa Commonwealth. Hapa alimtembelea Nyerere rasmi bila kuwapo kwa mkutano wowote wakati tayari Nyerere alishatanga Ujamaa na kujitegemea.
View: https://www.youtube.com/watch?v=hTVy2PeTf0U
Hatujui kama Nyerere alicheza na malkia muziki, ila inajulika kuwa malkia alipotembelea Ghana, rafiki mkubwa wa Nyerere, yaani Kwame Nkurumah aliamua kucheza na Malkia muziki.
View attachment 2717763
Ndio hadhi yao.Leo wakienda wanapokelewa na wajumbe wa sijui niseme nyumba kumi kumi au serikali za mitaa
Mama yetu alikwenda Marekani akapokelewa na akina Mange KimambiLeo wakienda wanapokelewa na wajumbe wa sijui niseme nyumba kumi kumi au serikali za mitaa.
Nadhani Africa nzima kwa sasa hakuna anayestahili tena heshima kama hii maana wote hawajui wanachotakiwa kukifanya kwa mataifa yao zaidi wapo kuwaza namna ya kuiba na kuzineemesha familia zao
😌Mama yetu alikwenda Marekani akapokelewa na akina Mange Kimambi
View: https://www.youtube.com/watch?v=CHkjzIiuwmA
Addressing the British Parliament is no joke my brother. Yaaaani mzungu aache kazi zake akae Anakusikiliza wewe mtu mweusi, ujue huyo zinachaji sana.Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
Obama alivyokaribishwa kuhutubia Bunge la Uingereza alikiri kuwa siyo kazi ndogo kuepewa heshimwa ya kusikilizwa na Bunge la Uingereza. Msikie mwenyewe hapa kuanzia dakika ya tatu.Addressing the British Parliament is no joke my brother. Yaaaani mzungu aache kazi zake akae Anakusikiliza wewe mtu mweusi, ujue huyo zinachaji sana.
Ninazo zaidi ya speech 50 za Obama na hii ikiwa ni moja wapo. Humo kamtaja Mandela pamoja na PapaObama alivyokaribishwa kuhutubia Bunge la Uingereza alikiri kuwa siyo kazi ndogo kuepewa heshimwa ya kusikilizwa na Bunge la Uingereza. Msikie mwenyewe hapa kuanzia dakika ya tatu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=fp85zRg2cwg
Inasikitisha,heshima siyo tu imeshuka bali imeporomoka.Mama yetu alikwenda Marekani akapokelewa na akina Mange Kimambi
View: https://www.youtube.com/watch?v=CHkjzIiuwmA