Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana"

Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli.

Akaangalia mabadiliko ya kisiasa yanayohitajika hayamruhusu kuendelea kuwa Rais. Akang'atuka.

Wachawi, manyang'au ,mafisadi ,kupe ,chawa na viroboto ndo wapo hivyo. Watakuambia hata ukiwa kwenye machela wewe ndo tunakutaka. Hakuna mwingine kama wewe mzee. Umetoka mbali na chama au hii nafasi. Umewekeza sana, tunakutaka wewe tu. Wanakulamba hadi Makalio kukusafisha.... Kumbe wanaogopa mageuzi, mabadiliko. Hawapo tayari kubadilika. Watakosa ulaji.

Yericko Nyerere anaweza elezea hili zaidi.
 
Yericko nyerere ni chawa hukupaswa kumfanya kama reference kwenye hoja yako.
Huyo ni tapeli mkubwa kwenye tasnia ya habari na historia ...I wish one day tuwe na sera ya udhibiti wa taarifa na historia zenye ukweli...pia tuondoshe vitabu vyote vilivyoandikwa na wahuni kisa tu wanajua mbinu za kuuza "vitabu"
 
Back
Top Bottom