Binadamu anamfanya binadamu mwenzake kuwa mtakatifu? Kweli dunia ina mambo. Nakumbuka Yesu alikataa kuitwa kuwa ni mwema na akasema mwema ni mmoja tu, MUNGU.
Kuna haja ya kuendelea kujifunza maandiko ya Mungu. Hakuna kitu kinaitwa fumbo la Imani. Huo ni udanganyifu
Mnatumia nguvu kubwa sana kulishambulia Kanisa Katoliki. Wewe sio muumini wa Kanisa Katoliki na huna interest na imani yao, ya nini sasa kuhangaika kulishambulia Kanisa kila siku kwenye mitandao kama si uhayawani ni nini. Kanisa Katoliki linayo misingi yake imara na haliwezi kuyumbishwa na wapuuzi kama nyie. Wapo waliojaribu wakaishindwa. Tulia na imani yako huko unakoabudu mzee. Kushambulia imani za watu ni ishara ya mtu mpumbavu wa kiwango cha juu kabisa. Unataka wote tujiunge na dhehebu lako ?