Nyerere Day 2025: Mwalimu Anastahili Sifa

Nyerere Day 2025: Mwalimu Anastahili Sifa

Tumekuchoka na Sykes wako
Njinjo,
Una haki ya kuchoka nimeandika sana historia ya Sykes.

Hii inatokana na maswali ninayoulizwa.

Historia ya Sykes imevutia watu wengi sikutegemea.

Na tatizo la kusomesha mtandaoni ni kuwa kila siku utakutana na wasomaji wapya ambao huko nyuma hawajakusoma.

Wanachangia wanauliza.
Matokeo yake unaanza upya.

Ikiwa wewe umechoka hakuna tatizo una-delete au unapita wima.

Ondoa wingi kuwajumuisha wengine.

Sema umechoka wewe.

Hizo video zimefikia kuangaliwa na watu 80K.
 
Apewe HESHIMA, siyo SIFA.

-Kaveli-
Safi kabisa HESHIMA ndiyo anayostahili sifa waendelelee kupewa hawa ndugu zetu wa sasa hv mf huu hapa
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom