Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
Screenshot_20221105-122716.png
Screenshot_20221105-122731.png
Screenshot_20221105-122741.png
 
Ilo andiko nilisikia ni Taifa la Kenya
“pelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa watu warefu, laini; Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa; Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu, Ambao mito inakata nchi yao.”

Halfu ( watu warefu, laini, watu watishao, Taifa la wenye Nguvu)
Taifa linalozungumziwa hapa ni America. Kuna mito Mingi ipita au kukatisha America. America ndo Taifa lenye Nguvu
Ndo maana kuna Mahusiano ya karibu kati ya Kenya na America.

Ilo Andiko tafsri yake ni Siku za Mwisho kuna wajumbe kutoka Kenya wa kuhubiri Injili wataenda America kuhubiri Neno la Mungu. Watatumwa na Bwana.

Kuna shuhuda ya Wadada 2 kutoka Zambia kwenda Mbinguni na kuzimu walieleza hivyo .
 
Ilo andiko nilisikia ni Taifa la Kenya
“pelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa watu warefu...
Shuhuda naye alishuhudiwa na nani kufika huko?
 
Shuhuda naye alishuhudiwa na nani kufika huko?
Yesu yupo pamoja na watoto wake.
Yesu aliwachukua hao wadada 2 na kuwapeleka kuzimu na Mbinguni.

Waje kuiambia Dunia na watoto wake kipi walichokiona
 
Mungu ni mwema sana.

Hakika Biblia ni kitabu Takatifu.

Mataifa wote wajue habari njema
 
Ilo andiko nilisikia ni Taifa la Kenya
“pelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa watu warefu, laini...
Wacha kupotosha jamii bana, kwann mnapenda kutafsiri biblia kwa matakwa yenu?
 
Wacha kupotosha jamii bana, kwann mnapenda kutafsiri biblia kwa matakwa yenu?
Kipi kilichotafsiriwa kwa Matakwa yetu kwenye ilo Andiko.
Badala ya kumuomba Roho Mtakatifu akuelekeza kujuwa ukweli unajibu kwa kutumia Akili za binadamu
 
Mlima mrefu AFRIKA ili bendera ionekane kote afrika na kutambulika Uhuru umepatikana ujuavyo vyombo vya habari havikuwepo Kama ili mwenge [emoji28][emoji23][emoji1787]
 
Tunataka kuwasha mwenge x 2 ,na kuuweka kwenye mlima kilimanjaroooo!!
 
Yule Kiongozi wa kupandisha mwenge kilele cha mlima Kilimanjaro kwa nini alikufa?
 
Back
Top Bottom