Nyerere na Manyang'au(Maana yake nini)

Nyerere na Manyang'au(Maana yake nini)

mazoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
215
Reaction score
41
Nyerere aliwaita Kenya Manyang'au.Mpaka leo sijui kwa nini.

Lakini unaweza kuhisi maana yake ukiona current President wa Kenya(utajiri wa familly) yake.

Can you imagine baada ya uhuru,Nyerere achukue land zote za settlers walizoacha,mashamba ya chai,kahawa etc.
Halafu Nyerere ahusike kuua akina Tom Mboya (Mjaluo) .

Ndio Kenya ya leo hasa hawa Wakikuyu.CCM ya sasa naona iko sambamba na hii itikadi.

Tulipokuwa jeshini tullimba hivi: " Na Tom Mboya wa Kenya huyo,ni Kiongozi ......"

Ndio maana Wajaluo wa Kenya mpaka leo wanaona justice haijafanyika.Mkumbuke baba yake Obama alikuwa best na akina Mboya.Mnakumbuka Dr Robert Ouko?

Vilaza wetu wa sasa wamesahau kabisa history.
Wakati sisi tuko frontline kumtenga mkaburu Kenya hakuwahi hata siku moja kusupport Freedom Fighters wa South Africa.
 
Nafikiri ulimusikia museven.. sasa subiri na usikie wanatangaza SERENGETI NI YA KENYA... Niaje Raisi anatumia pesa za nzhi kuuza nzhi...tafakali
 
Back
Top Bottom