johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo ni mtakatifu MchongaNyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni.
Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere
Source: ITV
Waulize ITV bwashee!Hi quote ume paraphrase kwa sababu zako binafsi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Meko Wanamfuta kila Jambo lake.Huyo ni mtakatifu Mchonga
Kiongozi wa Malaika bwana Meko yeye anasemaje?
Aliwabana ACACIA ,juna jamaa akawaambia "mtashtakiwa MIGA........".Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni.
Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere
Chanzo: ITV
Inawezekana kipindi chake hakukuwa hivyo sababu yy alikuwa Rais na aliongea hivyo baada ya kuona treatment waliokuwa wanayoipata wamachinga wakati wake na wakati wa awamu nyingine ni tofauti na kushangaa wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi.Hi quote ume paraphrase kwa sababu zako za kisiasa ?
Kipindo cha Nyerere yupo hai kuna machinga gani waliokuwa wakikimbizwa na serikali?
Tunapotoa quote za viongozi hazifai kuwa edited