Tukianza kuhesabu hapa hamsini zinafika..
Sasa jiulize mji wenye km/sq 600 unakuwa na slums zaidi ya hamsini,halafu ukizingatia nairobi haijajengwa kabisa 3/4 ya mji wote ni miti,misitu,na vichaka. Sehemu ndogo tu ndo imejengwa
Tukianza kuhesabu hapa hamsini zinafika..
Sasa jiulize mji wenye km/sq 600 unakuwa na slums zaidi ya hamsini,halafu ukizingatia nairobi haijajengwa kabisa 3/4 ya mji wote ni miti,misitu,na vichaka. Sehemu ndogo tu ndo imejengwa
Sisi huwa hatu-deal na hizo data kutoka kwa hao mabwana zenu from Europe,sisi tuna-deal hasa na uhalisia,kibera ni 2.5million dwellers, sina makosa slums ina 300k,ukiachana na slums nyingine lukuki wakazi wa nairobi almost 60% wanaishi kwa worst slums,elewa "worst slums"
Utumie akili hata kidogo basi mbona una hasira sanaHivi majuzi tu wakaazi wa kibera wamepiga kura baada ya mp wao kufariki., wewe mjuaji, population yao kwa ujumla uliwekwa wazi, na ya wale walio jisajoli kupiga kura pia ika wekwa., sasa wewe Papi Chulo mzembe kimawazo, pambana na uchochole wa hali ya juu EAC/SADC, angalau mpunguze aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi umewai tembea Nairobi!!hio ata si robo Nairobi hapo 1/4 ya Westlands, Nairobi cbd na upperhill kidogo, sehemu kubwa ya Westland haiko actually 3/4,kilimani,kileleshwa ,ngara na parklands haziko....ficha upumbavuYeah that is posta from faaaar away, now look the whole of nairobi in one pic taken from inside of the city. Yani unaeza panda juu ya gorofa ukapga picha nairobi yote [emoji23][emoji23][emoji23] huwez fanya hvyo kwa dar unless uwe miles awayView attachment 1312832
Sent using Jamii Forums mobile app
Utumie akili hata kidogo basi mbona una hasira sana
We unadhani census kila mmoja huhesabiwa???
Hata kura huwa haipigwi na kila mmoja..
Utumie akili hata kidogo basi mbona una hasira sana
We unadhani census kila mmoja huhesabiwa???
Hata kura huwa haipigwi na kila mmoja..
Mbona una hasira kijana???? Au nawe waishi dandora slumsNdio maana nimesema wewe ni mzembe kimawazo! Wakati wa kura katika eneo flani, population kwa ujumla inawekwa wazi, na ile ya wanao qualify kupiga, zaidi ya 18 years and above, alafu na ile ya nambari ya walio jisajili kupiga kura. You can't pull us down ili tutoshane, hilo halitowezekana, tuna Shiva zetu, hilo liko wazi, lakini za kwenyu ni balaa! In Dar imefunika over 80%!., balaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha hii sensa πππMbona una hasira kijana???? Au nawe waishi dandora slums
Naona cbd na upper hill kwneye hii picha ziko centimeters away[emoji1787][emoji1787]Yeah that is posta from faaaar away, now look the whole of nairobi in one pic taken from inside of the city. Yani unaeza panda juu ya gorofa ukapga picha nairobi yote [emoji23][emoji23][emoji23] huwez fanya hvyo kwa dar unless uwe miles awayView attachment 1312832
Sent using Jamii Forums mobile app