Nyeti zingekuwa na Pass word...

Nyeti zingekuwa na Pass word...

hahaha,
cjui leo umefikiria nini; vipi wamekuchapia demu wako au wife nini mkuu?
 
ha! ha! ha! wachangiaji, post zenu zimenichekesha ile mbaya. nami nashauri ya kwangu

tungepewa screwable nyetiz. yaani tukitoka nyumbani una-unscrew na kuficha ndani, ikibidi kwenye container mathubuti (mind you nyumba zetu nyingi zina panya na paka pia). imagine getting home tu unakutana na paka ndio anamalizia last piece ya sausage au kitumbua halafu ukirudi unarudishia. hata matatizo mengi ya misuguano ktk misongamano yangepungua.
 
Walahi ingekuwa ni hatari kuliko hatari yenyewe. Lakini mi'nadhani \Mungu alimuumba binadamu na akili za kuamua kufanya mema au mabaya, na hiyo inatosha kabisa
 
hahaha,
cjui leo umefikiria nini; vipi wamekuchapia demu wako au wife nini mkuu?
kama ni kuchapwa atachapwa tu kwa kupenda kwake maana sikumkuta nayo. So mkuu hiyo si sababu
ha! ha! ha! wachangiaji, post zenu zimenichekesha ile mbaya. nami nashauri ya kwangu

tungepewa screwable nyetiz. yaani tukitoka nyumbani una-unscrew na kuficha ndani, ikibidi kwenye container mathubuti (mind you nyumba zetu nyingi zina panya na paka pia). imagine getting home tu unakutana na paka ndio anamalizia last piece ya sausage au kitumbua halafu ukirudi unarudishia. hata matatizo mengi ya misuguano ktk misongamano yangepungua.
sasa utakojoaje?
Walahi ingekuwa ni hatari kuliko hatari yenyewe. Lakini mi'nadhani \Mungu alimuumba binadamu na akili za kuamua kufanya mema au mabaya, na hiyo inatosha kabisa

mkuu ni mangapi binadam kaweza kutumia utashi kuyakabili? Katika suala la uaminifu tumepruv failure. So an alternative here is the soln.
 
kungekuwa na mita unasoma ujue mwenzi wako kapitia
au kapitiwa na wangapi,pasingekalika.............
duuh hapa nimecheka kweli kwel,zingeku mita zinasoma kuanzia 100000000000000000,11111111000000000000000000000000000000000000000000000000000000,5000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000,yaani kwa ujumla ungechoka kusoma hizo mita lol.
 
Hivi mnadhani uumbaji umekamilika? Kwamba Mungu alimaliza kila kitu ile siku ya saba? Kwamba hakuna tena haja ya kumfanyia binadamu marekebisho madogomadogo? Ukiangalia maendeleo ya ubunifu wa vitu kama magari utaona yamepitia hatua nyingi hadi leo hii, na bado uboreshaji unaendelea. Kwa upande wa binadamu, tangu alipopumbwa hivyo alivyo, ndivyo alivyo na atakavyokuwa hadi dahari. Lakini ingekuwaje kama kutokana na purukushani hizi tunazoziona leo za mtindikio wa uaminifu katika mahusiano na hatimaye visa na mikasa, binadamu akawekewa pass word kwenye nyeti ili kuzuia mwingiliano usio rasmi? Hii pass word ifanye kazi tu pale ambapo mihemko ya kimapenzi inaaza ndipo nyeti zijilock kwa namna itakayokuwa muafaka. Hapo ndipo mwenye 'pini' aidha azitaje kimoyomoyo au kwa njia nyingine ili access ipatikane. Hii pini atakuwa nayo mtu mmoja tu. Kama nyeti ni za mwanamke, basi pini awe nayo mwanaume tu bila ya mwanamke kuitambua, and vice versa. Haya marekebisho yangeokoa ndoa nyingi pamoja na kuleta ahueni duniani. Ni rasimu tu
dah mkuu pasword noma maana pia lazima hako kasehemu kangekua kanabebeka au kuibiwa kirahisi,na nadhani kangekua kanaongoza duniani kwa kuibiwa na kuvunjwa.
 
We were made in God's perfection and a freewill. For the free will we fell out of God's glory.We need no other password we have them called selfcontrol.....
 
We were made in God's perfection and a freewill. For the free will we fell out of God's glory.We need no other password we have them called selfcontrol.....

self control is out of date nowadays
 
dah mkuu pasword noma maana pia lazima hako kasehemu kangekua kanabebeka au kuibiwa kirahisi,na nadhani kangekua kanaongoza duniani kwa kuibiwa na kuvunjwa.

wala hakuna sababu ya kuvunja kwani kwa jinsi patakuwa kama palivyo tu
 
Mpango wa MUNGU haukuwa kumilikiana bali kutumia pale unapohitaji kutumia kama wanyama vile.mpango wa binadamu kutaka kumiliki kila kitu hata ambacho kipo kwenye mwili wa mwengine ndo unatufikirisha hivyo. Code no aitunze mwingine na pc nibebe mimi akichukua tairi nitaipata wapi tena code no na marehem kaondoka nayo?? Mkuu mtake radhi muumba
 
unaposema mpango wa Mungu si kumilikiana unapingana nae. Ndoa kaweka Mungu. Kuwa himayani mwa fulani ni kumilikiana tayari. Pia Mungu ataendelea kuitwa Mungu na hakuna wa kumpinga. Hapa tunajaribu kutafuta suluhu ya cheating
 
mie navyo ona binadamu tumeletwa hapa kujaribiwa au kupewa mitihani nawatakao shinda ndio wamefaulu... wewe unataka urahisishiwe kila kitu bana... halafu hii proposal unaileta hapa? labda ungemuomba mwenyewe unaweza pewa hiyo password... Kila kitu kina wezeka kwa muumba...
 
Achana na watoto wa uswazi mzee, hiyo pin awangeitafutia crank (funguo malaya) halafu wakailikisha kisha jamaa kibao wakaipata na kwakuwa niyeye tu ndio password yake ineliki pasi ni full kujisevia mwana. Foleni yake usipime. Yaani utaomba bora hilo suala lisingelikuwepo maishani.
---------------------
Think Big, See far then judge like a Childish. no school to add you a brain but a school to give knowledge. Tehetehee!!!!
 
naona watu mnajitahidi hata mbinu mbadala zipatikane 🙂
 
Hahahha nilishawahiwaza ingekuwaje kama kungekuwa na kubadilishana- mume unatoa chako unamkabidhi mke na mke watoa unamkabidhi mume kila asubuhi kabla ya kutoka kwenda kazini kisha mnarudishiana jioni mkirudi
Hujatulia Mkuu
 
Ni pale password inapo jamm na wewe ndo muhusika; sipati picha! ....una cold reboot mwili wako? teh teh
 
Yaani hii lock iko very automatic kiasi kwamba ni Mola pekee anayetoa pass word kwa mhusika na wala si mtu tu. Hapa tunazungumzia binadamu kufanyiwa marekebisho madogo ya kiumbaji. Labda tatizo lingekuwa pale ambapo jamaa kamtamani mke wako kisha akatumia vitisho umpe hiyo pin
 
Back
Top Bottom