Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
utafiti huu unashabihiana na ukweli halisi ila nilikula myao mbona alikuwa zero kabisa yani gooogo ila hapo kasifiwa katika utafiti wangu wangoni ndio wamenielemea maana nimepita na kadhaa utazani nilibarikiwa huko kila nikipata ni mngoni [emoji23][emoji23]