Nyeupe na nyeusi kuhusu sifa za wanawake wa makabila kadhaa Tanzania

kuna makabila kama wahehe ni kubwa alafu maarufu hukuwaongelea alafu kabila dogo tena dogo sana kama wakelewe na wayao umewaongelea
 
"Mtafiti", hao Wasafwa ndo kabila la wapi hilo? Kwa sifa hizo kama ni kweli basi watakuwa wanaoana wao kwa wao tu! "Masomo" yote wamepata zero!
 
Sifa zote kwel kuna dem nlipga chini kwa tabia za hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…