Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

πŸ˜†nakubaliana na wewe mkuu,nilisalimiana na mrembo mmoja kwa kushikana mikono tu baada ya muda tukaachana akanitext ameloa baada ya kusalimiana kwa kushikana mikono tu.
 
Mtu anaekupenda automatically inajiandaa yenyewe na ikisimama anapanda tu kama daladala.
 
πŸ˜†nakubaliana na wewe mkuu,nilisalimiana na mrembo mmoja kwa kushikana mikono tu baada ya muda tukaachana akanitext ameloa baada ya kusalimiana kwa kushikana mikono tu.
Zingatia "akakutext"

Wanawake wanadawanganya, sababu mnapenda kusikia uongo uongo.
Na wengine kabla ya kukutana na nyie wanajiwekea lube mtelezo ili muone wamelowa.

Kusikia kwenu kama kenge, bila damu 🩸 bado hamjaelewa.
 
Enzi za Adam na Eva mambo yalikuwa simple tu, ni chap chap kama kuku na mchezo unaisha. Haya maufundi ya sasa yanatoka wapi?
Dhambi ndio chanzo cha hayo yote mkuu. Ibilisi kushika hapo kwani wanadamu wengi wa sasa wanaiabudu na wanachukuliwa zinaa kama Ibada na ndio chanzo cha haya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…