Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

Sijasema napata changamoto kupata mwenza, ke wapo wengi tu wa kuoa ila muda ukifika nitaoa.

Chumvini sizami na namfikisha
Sawa ndoa haikimbiliwi, all the best kwenye hilo.

Uko sahihi kabisa, kuzama chumvini haimaanishi ndiyo atafika.
Endelea kufanya vinavyomfurahisha :uwotWater:.
 
Kwani wenzangu huwa ampaki koozi
naijatwittersavages-20190603-0002.jpg
 
Kuna aina ya maandalizi kwa sasa inabidi yakome, yasitishwe, hasa kuzama chumvini. Hali ni mbaya sana kwa sasa, wadada wanalombwa sana na wanaume tofauti, its scary.

Jana dada mmoja anasema analombwa na wanaume watatu, anawapanga tu anavyojua mwenyewe, sasa mtu wa hivyo unalamba maku ili upate nini zaidi ya STI's.
 
Nimesikia kuna wanaume hawapigi deki huko chini 👅, hawataki kubadilishana mate 👄, wanawake hawasuuzi rungu 🍆, hawabugii magololi ya wanaume zao.

Naomba kujua, kabla hamjaanza kuzagamuana, mnawaandaaje hao wenza wenu.

Hasa wanaume, mnawafanyia nini wanawake walowe na wawe tayari kufanya tendo?

View attachment 3404750
Njoo inbox nikueleze kipenzi.
 
Nobody did, unataka kusemaje kwani Magobe 😂
Yaani kwamba hata hao wanaona the so-called "uchafu" wako sawa na wale ambao hawaoni. Ndiyo maana nikasema kuna njia nyingi za kufanya hilo jambo, na according to me, there are as many ways of doing it as there are people in the world.
 
Back
Top Bottom