Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

Mzee mwenzangu unasubiri nini?
Hayo masharti ya kutoshuka chumvini yaondoe kwa sasa ๐Ÿคฃ labda ndiyo yanakuzibia kupata mwenza wa kufanana naye ๐Ÿ˜‚
Sijasema napata changamoto kupata mwenza, ke wapo wengi tu wa kuoa ila muda ukifika nitaoa.

Chumvini sizami na namfikisha
 
Sijasema napata changamoto kupata mwenza, ke wapo wengi tu wa kuoa ila muda ukifika nitaoa.

Chumvini sizami na namfikisha
Sawa ndoa haikimbiliwi, all the best kwenye hilo.

Uko sahihi kabisa, kuzama chumvini haimaanishi ndiyo atafika.
Endelea kufanya vinavyomfurahisha .
 
Kuna aina ya maandalizi kwa sasa inabidi yakome, yasitishwe, hasa kuzama chumvini. Hali ni mbaya sana kwa sasa, wadada wanalombwa sana na wanaume tofauti, its scary.

Jana dada mmoja anasema analombwa na wanaume watatu, anawapanga tu anavyojua mwenyewe, sasa mtu wa hivyo unalamba maku ili upate nini zaidi ya STI's.
 
Njoo inbox nikueleze kipenzi.
 
Nobody did, unataka kusemaje kwani Magobe ๐Ÿ˜‚
Yaani kwamba hata hao wanaona the so-called "uchafu" wako sawa na wale ambao hawaoni. Ndiyo maana nikasema kuna njia nyingi za kufanya hilo jambo, na according to me, there are as many ways of doing it as there are people in the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ