Baby boomers wameisaliti Tanganyika, watu waliofundishwa uongozi bora na Nyerere, walipewa elimu bora na serikali, leo hii wametusaliti wanawaua ndugu zao na bunduki. Hawana huruma na watoto wao wala kizazi kijacho.Kina Kikwete na Samia.Very selfish generation.Najua Gen Z wanawapa Heartbreak na kuwatoa vijasho haswa vipara . Mmeshindwa kuyatambua mahitaji yao na mkasahau ni kizazi ambacho kimeshajitengenezea standard zao za maisha pamoja na mtazamo wao ambao ni far behind ya kwenu ya ki conservative. Mmesahau hili swala na ndio maana mnaamua kuwaua... Anyway sasa na bado kuna Version Hiyo ya toleo la pili la kuanzia 2010+... Hakika uzee wenu utakuwa wa stress sana...
Anyway siwatishi.. Hii hali ya dilemma au mtanziko iliwahi ikumba jamii ya kimarekani kuanzia miaka ile ya Economic boom ya 1920s na ilijulikana kama The Roaring Twenties .
Msisome tu ilani . Dunia ina historia yake So na nyie msijikute wa special sana. Maana asili lazima itimize lengo lake la ku balance equation .. If not tomorrow maybe the next days after the day😎😎
wapi wewe muoga tu, wewe ni mdomo tu kama una uchungu sana toka ata leoTarehe 9/12 inachelewa sina furaha hata kidogo.
Harafu hii kweli. Miaka mingi ilipita sijaenda kanisani sasa jpl iliyopita kuna ishu ilinilazimu kwenda kanisani. Wakati wa kutoa sadaka na kula mkate wa sakramenti sikuona dogo wa 2000 hata mmoja kwenye foleni. Ni wakina mama, wakina baba na wazee tu.we kizazi cha 2000 ukikuti msikitini wala kanisani alafu unakiletea propaganda za Dini lahaula.
Baby boomers wameisaliti Tanganyika,
Boomers 1946-1964Hivi Tz kuna baby boomers kweli? Sifa gani waliyonayo kuwaweka kwenye hilo kundi?
Naelewa Tz GenZ, Gen Y wapo na kidogo GenX ila Boomers? Sidhani!
Kwa wasiojuwa, nchi za magharibi hawa ni watoto waliozaliwa lwa wingi baada ya vita ya pili ya Ulaya.
Walidekezwa kwasababu wazazi wao waliishi kwa dhiki wakiwa watoto wakati wa great depression na wakiwa vijana walipelekwa vitani Ulaya.
Hivyo hawakupenda watoto wao waishi kwa shida. Na walizaliwa wengi ili kuongeza idadi ya watu (boomers).Je, Watanganyika washuhudia depression na walizaliana sana kipindi hicho?
It has been tha way since kuumbwa kwa dunia, it will be always till the endNature will take its course no matter what!
Ishu ni hawa viongozi wa makabila ya Pwani ndio Ma selfish. Hawa wanao toka mbali na bahari kidogo waoBaby boomers wameisaliti Tanganyika, watu waliofundishwa uongozi bora na Nyerere, walipewa elimu bora na serikali, leo hii wametusaliti wanawaua ndugu zao na bunduki. Hawana huruma na watoto wao wala kizazi kijacho.Kina Kikwete na Samia.Very selfish generation.
Hawa boomers waliwajua wahuni, waliwaona wakiwauwa baadhi ya watu, waliwaona wakiiba rasilimali za nchi wakanyamaza.Is
Ishu ni hawa viongozi wa makabila ya Pwani ndio Ma selfish. Hawa wanao toka mbali na bahari kidogo wao
Millennials wengi ndio wanawasaidia Gen Z.Millennials wamewalea Gen Z kama wadogo zao na kama watoto wao wa kuwazaa. Millennials are mentoring Gen Z, mfano mzuri ni Dada wa Taifa Mange.Baby Boomers wanawatumia Millennials kuwaua Gen Z kwa kuwa wao hawana tena nguvu.🥺
Sidhani kama ulinielewa.Boomers 1946-1964
Umeongea point hapa📌📌🔨. Hapa nilikuwa najaribu kuzungumzia hao vikosi vya usalama vinavyotumika kuwaua genz ... All in all .. nimepata point yako hapa.Millennials wengi ndio wanawasaidia Gen Z.Millennials wamewalea Gen Z kama wadogo zao na kama watoto wao wa kuwazaa. Millennials are mentoring Gen Z, mfano mzuri ni Dada wa Taifa Mange.