mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Najua Gen Z wanawapa Heartbreak na kuwatoa vijasho haswa vipara . Mmeshindwa kuyatambua mahitaji yao na mkasahau ni kizazi ambacho kimeshajitengenezea standard zao za maisha pamoja na mtazamo wao ambao ni far behind ya kwenu ya ki conservative.
Mmesahau hili swala na ndio maana mnaamua kuwaua... Anyway sasa na bado kuna Version Hiyo ya toleo la pili la kuanzia 2010+
Hakika uzee wenu utakuwa wa stress sana
Anyway siwatishi.. Hii hali ya dilemma au mtanziko iliwahi ikumba jamii ya kimarekani kuanzia miaka ile ya Economic boom ya 1920s na ilijulikana kama The Roaring Twenties .
Msisome tu ilani . Dunia ina historia yake So na nyie msijikute wa special sana. Maana asili lazima itimize lengo lake la ku balance equation .. If not tomorrow maybe the next days after the day