johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nawaulizeni tu makada kindakindaki mliopo hapo Lumumba na wale Wakereketwa wa mashinani huko visiwandui Unguja, Je nyie sumu mnaonja kwa kulamba?
Hili ni swali la kiuchaguzi kwa sababu nimelipata katikati ya mihemuko ya uchaguzi huko Ufipa.
Watu wenye ulinzi wa kutosha wa kitaifa wameogopa kuonja sumu kwa kulamba na kubwaga manyanga.
Maendeleo hayana vyama!