ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
unaongelea uenyekiti ilhali mlipa lowassa agombee ngazi ya juu kabisa ..kwani alikua ameanzisha tawi gani?Tena aondoke haraka sana, anataka uwenyekiti huku hajawahi kata kuanzisha tawi lolote la chama. Akamalizie uzee wake alipolia ujana wake fullstop. Wapigie simu mzee Mgaya na mchungaji Erasto watoe maoni yao.