johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa....... Kama Sumaye kakimbia Cecil Mwambe ni nani pale Ufipa?!!Kila mtu ana mbabe wake, ila wengi wanamuogopa Mbowe..Mbowe anatisha blaza
Nadhani ni NGUVU kubwa!Mbowe akili kubwa
Eti DJ Mbowe kiongozi..hizi SACCOS no wakati muafaka vifutwe tu
Viva Magufuli..wameanza kuelewa
Naunga mkonoNadhani ni NGUVU kubwa!
Hiyo kauli yake kwa walio chini yake inathibitisha!
Hahahaaa........ Kamanda Sumaye kabwaga manyanga!Mbowe ni Mafioso akibweka tu ufipa wote wanaingia Chini ya meza
Sumaye hajawahi kuwa Kamanda. Alipima upepo akaamini kuwa Mzee wa nywele nyeupe atashinda ichaguzi wa 2015 ili aendelee kula mema ya nchi. Picha likabadilika. Kapata sababu sasa karudi kundiniHahahaaa........ Kamanda Sumaye kabwaga manyanga!
Eti DJ Mbowe kiongozi..hizi SACCOS no wakati muafaka vifutwe tu
Viva Magufuli..wameanza kuelewa
Hahahaaa........ Kamanda Sumaye kabwaga manyanga!
pengine jamaa Ana kikosi kazi siyo bureNawaulizeni tu makada kindakindaki mliopo hapo Lumumba na wale Wakereketwa wa mashinani huko visiwandui Unguja, Je nyie sumu mnaonja kwa kulamba?
Hili ni swali la kiuchaguzi kwa sababu nimelipata katikati ya mihemuko ya uchaguzi huko Ufipa.
Watu wenye ulinzi wa kutosha wa kitaifa wameogopa kuonja sumu kwa kulamba na kubwaga manyanga.
Maendeleo hayana vyama!
Naskia hata kupigwa risasi tundu lissu kule makao makuu ya ccm,police wameshindwa kujua mhusika [emoji16][emoji16]ukiamini ya ccm ni rahisi kuamini simba anaweza kuzaa na fisi,PM kaunga juhudi kwa style ya sumuNawaulizeni tu makada kindakindaki mliopo hapo Lumumba na wale Wakereketwa wa mashinani huko visiwandui Unguja, Je nyie sumu mnaonja kwa kulamba?
Hili ni swali la kiuchaguzi kwa sababu nimelipata katikati ya mihemuko ya uchaguzi huko Ufipa.
Watu wenye ulinzi wa kutosha wa kitaifa wameogopa kuonja sumu kwa kulamba na kubwaga manyanga.
Maendeleo hayana vyama!
na zitto alizoea kuteuliwa ? Na slaa jeInathibitisha Sumaye alizoea vyeo vya kuteuliwa na kubebwa.
Hata uwaziri mkuu ungekuwa unagombewa asingeshinda.
Alifahamu anataka kugombea nafasi ya uenyekiti na Mbowe, lakini hakuwa na strategies za kugombea,alidhani wanateuwa kama nafasi ya uwaziri mkuu na unapigiwa Kira ya ndiyo, yani ukipendekezwa jina na rais umeshinda, hahaha.
Alipaswa ajaribu kugombea, nafasi za kuteuliwa hazipo kule.
Kamanda sijui magwanda kayaacha wapi.