ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
unaongelea uenyekiti ilhali mlipa lowassa agombee ngazi ya juu kabisa ..kwani alikua ameanzisha tawi gani?Tena aondoke haraka sana, anataka uwenyekiti huku hajawahi kata kuanzisha tawi lolote la chama. Akamalizie uzee wake alipolia ujana wake fullstop. Wapigie simu mzee Mgaya na mchungaji Erasto watoe maoni yao.
Kwani Slaa naye aligombea huo uenyekiti huko CHADEMA?!na zitto alizoea kuteuliwa ? Na slaa je
Chadema inanyemelewa na anguko kubwa kuwahi kutokea katika historia yake.Tena aondoke haraka sana, anataka uwenyekiti huku hajawahi kata kuanzisha tawi lolote la chama. Akamalizie uzee wake alipolia ujana wake fullstop. Wapigie simu mzee Mgaya na mchungaji Erasto watoe maoni yao.
Mbowe ni jabari la siasa Africa.Mbowe akili kubwa
hujui siasa mzee tulia watu wanakokota ngoma!!Chadema inanyemelewa na anguko kubwa kuwahi kutokea katika historia yake.
Alianza Dr Mollel....akaja Karanga....Mwita Waitara....Mzee Lowassa.........
Makundi.....Ryoba......Gegule......Nassari......Tundu Lisu...... Madiwani kibao.......Lazaro......na leo mzee Sumaye
Who next? Lord Mayor Dsm or?!!!!!
Pro. Safari, Mwambe, Komu, Kubenea.......loading.........Hahahaaa....... Kama Sumaye kakimbia Cecil Mwambe ni nani pale Ufipa?!!
Hahahaaa.......... Mstaafu mzee Sumaye kafungua lango la zizi!hujui siasa mzee tulia watu wanakokota ngoma!!
Hakika hapo Ufipa hakuna kama mbowe!Mbowe ni jabari la siasa Africa.
Wote ulioandika hapa hatuna shida nao.Hahahaaa....... Kama Sumaye kakimbia Cecil Mwambe ni nani pale Ufipa?!!
unaongelea uenyekiti ilhali mlipa lowassa agombee ngazi ya juu kabisa ..kwani alikua ameanzisha tawi gani?
Sasa mnamuunga mkono nani?!Sio ndio hapa tunamnanga Mbowe kila siku kuwa alichemsha na hatumuungi mkono kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kuokota hizo takataka toka ccm.
Chadema inanyemelewa na anguko kubwa kuwahi kutokea katika historia yake.
Alianza Dr Mollel....akaja Karanga....Mwita Waitara....Mzee Lowassa.........
Makundi.....Ryoba......Gegule......Nassari......Tundu Lisu...... Madiwani kibao.......Lazaro......na leo mzee Sumaye
Who next? Lord Mayor Dsm or?!!!!!
Sasa mnamuunga mkono nani?!
Lisu anaenda kwa wapambanaji wa kweli ACT wazalendo!Tunawaunga mkono wanacdm halisi akina Lissu, Heche nk. Mbowe tunamuunga mkono lakini sio kuendelea kuwa mwenyekiti kwani muda wake umepita.
Afadhali mjinywee tu bia maana maji yameshakorogeka!Acha hao uliowataja, hata akiondoka Mbowe bado hakuna kitu kitatokea, tunajitambua ile mbaya. Kaondoka Slaa na hamna mtu anaogopa lolote ndio itakuwa hizo takataka? Yaani hapa tulipo tunapiga bia za kutosha kwa hilo takataka jingine kuondoka leo.
Cecil Mwambe labda nayeye ataitisha waandishi wa habari tusubiriHahahaaa....... Kama Sumaye kakimbia Cecil Mwambe ni nani pale Ufipa?!!
Lisu anaenda kwa wapambanaji wa kweli ACT wazalendo!
Mtaelewa vizuri mwezi November, 2020!Aende hata leo hakuna anayejali.
Kuna wimbi kubwa linakuja la watu kujitenga na Chadema, na hasa wale wasio na connection na kaskazini. Hii si kwa bahati mbaya, ni makakati wa makusudi kukinusuru chama kutoka kwenye makucha ya walafi.
Mtaelewa vizuri mwezi November, 2020!