Nyie endeleeni kutembeza bahasha za kaki, sisi wenzenu tunatengeneza pesa kwenye kilimo

Nyie endeleeni kutembeza bahasha za kaki, sisi wenzenu tunatengeneza pesa kwenye kilimo

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Maneno machache kazi nyingi aisee nyie endeleeni kutembea na bahasha za kaki tu sie wenzenu tunapiga mitulinga tu huku kwenye kilimo na hakika kilimo kinalipa

Ona sasa karibuni nimepiga mshindo wa milioni 24 kwa kuuza ufuta na mihogo halafu anatokea jobless na mpuuzi yeye kutwa kuzunguka na bahasha za haki idiot kabisa.
 
Umetumwa na ccm kuhadaa vijana wa tz.

Hicho kilimo ndio kile cha kuua mgongo,kilimo cha jembe na kutizama juu?bila kusahau mbolea na madawa. Acha propaganda
 
Kilimo kinachotoa million 24 lazima uwe na mtaji wa eneo,mbegu,madawa,nguvu kazi.Huyu anaetembeza bahasha huo mtaji ataupata wapi?.au umetumwa😁📸
 
Back
Top Bottom