Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira.


Ujumbe kwa wazazi.

Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu.

Baada ya hapo, kinakuja kilio cha ajira.



Wazazi anzeni kujiandaa mapema juu ya hatma ya watoto wako, je endapo akikosa ajira atafanya nini?
 
Back
Top Bottom