Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira.

Ujumbe kwa wazazi.

Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu.

Baada ya hapo, kinakuja kilio cha ajira.

Wazazi anzeni kujiandaa mapema juu ya hatma ya watoto wako, je endapo akikosa ajira atafanya nini?
Acha kututisha...
 
Anza kupeleka pesa kidogo kidogo kule Ajira portal 😂 😂
 
Back
Top Bottom