Nyie Gen Z sio kwamba Millenials walikuwa slow ila mmeruhusiwa kufanya vitu ambavyo wao walikataliwa

Nyie Gen Z sio kwamba Millenials walikuwa slow ila mmeruhusiwa kufanya vitu ambavyo wao walikataliwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Imagine in late 90s au early 2000s unamwambia mama yako kuwa unataka kuwa msanii wa muziki au filamu. Ungekaliwa kikao cha ukoo mzima. Ila siku hizi unaruhusiwa kama kawaida na vijana wanatengeneza pesa.

Imagine in early 2000s eti denti wanaungana na wenzake kutengeneza group la escorts (malaya) ili kupata wateja kirahisi, isingelata maana wakati huo, ila siku hizi vijana wanapiga pesa kirahisi.

Imagine in 2000s mnashauriana na marafiki au hata mama yako jinsi gani ya kudanga na wamme za watu wenye pesa, ungetengwa na familia jamii nzima, ila siku hizi hata mama mwenyewe anapokea pesa za mdango wa binti yake.

Imagine in early 2000s eti mzazi ngozi nyeusi ampe mtoto wake mtaji au washirikiane kama family business, hio ilikuwa haipo, lakini siku hizi vijana wanashirikishwa na wazazi katika mali zao sio hadi wawe wamefariki.

Imagine in late 90s au early 2000s huko vijijini eti binti ana plan ya kuendelea na masomo, hio ilikuwa haiwezekani akiwa na miaka 15,16,17,18 tayari baba amepokea ng'ombe ila siku hizi mabinti wanasoma hadi wanaamua kustopisha wenyewe.
 
hakunaaa nyie mabraza wenye miaka 30+mlikua wapumbavu sana
muliendekeza mademu 😕 hii nchi ingekua vijana wasasa ndio tuna umri wenu nchi ingekua mbali sana kimaendeleo

sema tuna pambana kulificha gep Mlilo loweka mambo yatakaa sawa .mmekalia ujinga tuu

ndiomana wazee wasasa mnajidai vijana🤣laleni nyumbani tuwaonyeshe shoo kazikaziii😕😕😕😕😕hadi maji muite mmaa
 
Na nyie kikubwa mlichoweza kwa sasa ni kusambaza UTI sugu tu
 
hakunaaa nyie mabraza wenye miaka 30+mlikua wapumbavu sana
muliendekeza mademu 😕 hii nchi ingekua vijana wasasa ndio tuna umri wenu nchi ingekua mbali sana kimaendeleo

sema tuna pambana kulificha gep Mlilo loweka mambo yatakaa sawa .mmekalia ujinga tuu

ndiomana wazee wasasa mnajidai vijana🤣laleni nyumbani tuwaonyeshe shoo kazikaziii😕😕😕😕😕hadi maji muite mmaa
Hahhaaha dogo hakuna kizazi kinachofanya ngono na ngono za ajabu ajabu kama kizazi chenu.

Nyie kinacho wabeba ni kuwa infrstaructures na watu wameamua tu kukubaliana na uhuni wenu
 
Back
Top Bottom