Nyie Gen Z sio kwamba Millenials walikuwa slow ila mmeruhusiwa kufanya vitu ambavyo wao walikataliwa

Nyie Gen Z sio kwamba Millenials walikuwa slow ila mmeruhusiwa kufanya vitu ambavyo wao walikataliwa

Hii gen Z wengi hawana marinda sababu ya kupenda Ganda la ndinzi.
Nenda kinondon mwambie kijana ainame alafu acheke uone shuhuri yke🤒
 
wewe kijana wako analiwa Mzee?
Screenshot_20240816-090420.png

Mwenzenu anaandika kuhusu condom asubuhi asubuhi hhahhh
 
Ndo mawazo yao hao,,,,na siku hizi wana vikundi kabisa vya kusaka wenye hela wapigwe pombe na kubanduliwa,,,,,,hata ile ramada kupewa ile tuzo na wazungu sababu kubwa ni gen z wanaopenda kwenda kule hasa mida ya usiku
Duuih hatarii alafu vikununu crown vinakuwa vina mtimlia vumbi mtaanj
 
hakunaaa nyie mabraza wenye miaka 30+mlikua wapumbavu sana
muliendekeza mademu [emoji53] hii nchi ingekua vijana wasasa ndio tuna umri wenu nchi ingekua mbali sana kimaendeleo

sema tuna pambana kulificha gep Mlilo loweka mambo yatakaa sawa .mmekalia ujinga tuu

ndiomana wazee wasasa mnajidai vijana[emoji1787]laleni nyumbani tuwaonyeshe shoo kazikaziii[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]hadi maji muite mmaa
Mbona hao mademu zenu bado tunawaburuza tu
 
hakunaaa nyie mabraza wenye miaka 30+mlikua wapumbavu sana
muliendekeza mademu 😕 hii nchi ingekua vijana wasasa ndio tuna umri wenu nchi ingekua mbali sana kimaendeleo

sema tuna pambana kulificha gep Mlilo loweka mambo yatakaa sawa .mmekalia ujinga tuu

ndiomana wazee wasasa mnajidai vijana🤣laleni nyumbani tuwaonyeshe shoo kazikaziii😕😕😕😕😕hadi maji muite mmaa
Fungua tena ule uzi wako unasema ...km Wewe sio Muislamu basi Wewe moja kwa moja Motoni na km Wewe ni Muislamu na hauswali Swala 5 basi Wewe moja kwa moja Motoni.., fungua tena huo uzi tuuchome moto
 
Umesahau pia wengi wao ni mashoga na lesbians,vitoto vya sasa hivi hata kupuliza moto haviwezi,wanachojua ni kusafishwa mtaro
Na wengi walijazana kule kwenye uzi wa Sandakalawe kule wanasubiri Vocha za bure shame on them
 
Kizazi iki kimevurugwa sana mtot ana mtoto nusu na robo ya umri wake 20yr ana mtoto wa miaka 5 ,uikipta ukosi uti au fangus kama si virus
 
Gen z vingi havina nguvu za kiume,wengi wao vibamia ndo maana sasa hivi dawa za nguvu za kiume zinauzwa sana,
Panya road
Chuga dance
Malaya kwenye mitandao ya kijamii
Yani havina maadili ndo maana vinakufa hovyo,kizazi kilichobarikiwa ni cha 90s,
 
Imagine in late 90s au early 2000s unamwambia mama yako kuwa unataka kuwa msanii wa muziki au filamu. Ungekaliwa kikao cha ukoo mzima. Ila siku hizi unaruhusiwa kama kawaida na vijana wanatengeneza pesa.

Imagine in early 2000s eti denti wanaungana na wenzake kutengeneza group la escorts (malaya) ili kupata wateja kirahisi, isingelata maana wakati huo, ila siku hizi vijana wanapiga pesa kirahisi.

Imagine in 2000s mnashauriana na marafiki au hata mama yako jinsi gani ya kudanga na wamme za watu wenye pesa, ungetengwa na familia jamii nzima, ila siku hizi hata mama mwenyewe anapokea pesa za mdango wa binti yake.

Imagine in early 2000s eti mzazi ngozi nyeusi ampe mtoto wake mtaji au washirikiane kama family business, hio ilikuwa haipo, lakini siku hizi vijana wanashirikishwa na wazazi katika mali zao sio hadi wawe wamefariki.

Imagine in late 90s au early 2000s huko vijijini eti binti ana plan ya kuendelea na masomo, hio ilikuwa haiwezekani akiwa na miaka 15,16,17,18 tayari baba amepokea ng'ombe ila siku hizi mabinti wanasoma hadi wanaamua kustopisha wenyewe.
Sugu Moto Chini na MwanaFA ni Gen Z?! 😂😂
 
Fungua tena ule uzi wako unasema ...km Wewe sio Muislamu basi Wewe moja kwa moja Motoni na km Wewe ni Muislamu na hauswali Swala 5 basi Wewe moja kwa moja Motoni.., fungua tena huo uzi tuuchome moto
niufungue mara yapili?unajielewa wewe mzee
 
Uzi huo ushafutwa na hayo madogo ya 2000 yamepoteana
 
Back
Top Bottom