Nyie mabinti/wadada hivi vijitabia vyenu kiukweli mnapoelekea mnapotea sasa…..

Mke wa kaka huyo aliyeitwa wife mkuu wacha kuumwa vitu vya kawaida upeleka mbali hisia zako
 
Wanawake sisi tupo hivyo,ila hayo mambo siyawezagi.Nakumbuka shule ilikuwa kawaida kuandikiana mpaka barua za kirafiki zenye maneno mazito ya kimahaba na dedication juu na makopa kopa tunabandika.
 
Reactions: CTX
Mkuu Mimi nadhani hizo Picha kwenye FB ni geresha tu,wengine wameweka picha ya mwanamke lakini ni wazinzi wawili ndio maana wanatumia majina ya kike lakini Ni dume na jike.Wanawavunga wanandoa wenzao.Utakuta mwingine ni mke wa mtu lakini upande wa Pili doezi limeweka Picha ya mdada Kwa hiyo utadhani ni wanawake watupu wanawasiliana kumbe Ni mdada na mchepuko wake,ndio technolojia ya mchepuko ya wadada suiku hizi.Ukiona mwenza wako anjifanya anamaneno mazito na anayemfanya shoga yake kwenye FB fuatilia taratibu utakachokikuta huko utalia kikwenu(kilugha cha kwenu).Luna michezo mibaya huko usiombe .Sipendagi ujinga nimelimwaga hazarani wanaume situkeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…