Nyie mabinti/wadada hivi vijitabia vyenu kiukweli mnapoelekea mnapotea sasa…..

Nyie mabinti/wadada hivi vijitabia vyenu kiukweli mnapoelekea mnapotea sasa…..

Mke wa kaka huyo aliyeitwa wife mkuu wacha kuumwa vitu vya kawaida upeleka mbali hisia zako
 
Wanawake sisi tupo hivyo,ila hayo mambo siyawezagi.Nakumbuka shule ilikuwa kawaida kuandikiana mpaka barua za kirafiki zenye maneno mazito ya kimahaba na dedication juu na makopa kopa tunabandika.
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Imekua kama fasheni sasa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, the most ni Facebook.unakuta wadada kwa wadada wanaitana majina yaliozoeleka kwa mwanamke na mwanaume ambao wana mahusiano ya kimapenzi mfano.’my sweetheart,my baby,my honey,mpenzi wangu na mengineyo mnayoyajua...'.sawa yanaweza yasilete maana ya moja kwa moja tunavyofikiria,mnaweza kusema ni utandawazi..ndio..mkasema ni kawaida okay pouwa tu,me hapa sina shida sana..ila yote tisa...kumi...imefikia hatua sasa wanaitana mume na mke..yani mdada kaposti picha ya binti mwenzie then anaandika.'nakupenda sana kipenzi changu mke wangu,umependeza sana i love you wife wangu na vijimaneno vingine vya mahaba wanavyovijua wenyewe....'na yule mwenzake naye akarespond,'asante sana mme wangu kipenzi,nikupendaye kwa dhati,I love you hubby!! na kiss za emoji nyingiiiiii!!khaaaaa!!!!!!!!'
nilishangaa sana aisee,nyie kina dada,mabinti,huku mlipofikia siyo pazuri aiseeee,au ndio ndoa za jinsia moja mnaendelea kuziimarisha?sasa kama hawa wadada wameolewa au wana wapenzi wao,wakiwafuma wanaandikiana maneno ya ajabu kiasi hiki si hatari hii?...yani mmeona haitoshi kuitana tu hayo majina yenu ambayo tumewazoea ndo vijitabia vyenu vya siku hizi,mara bby,honey,sweetheart,n.k sasa mmeona muingie kwenye majina ya wanandoa?eti mke wangu mara mme wangu,kweli aisee?tuwaeleweje hapo sasa?ndio kwamba mmeoana sasa au?mnasagana laivu sasa hadi mnaanikana kwenye mitandao!!..acheni ushenzi bhana!!...na wewe dada unamuita dada mwenzio ‘mme’ huna hata mshipa wa aibu,shenzi kabisa!! Kama mmefikia hatua hii.. Hii sio fasheni ni laana kabisaaaa!!!!!!!
Mkitaka kuolewa mnasumbua wachungaji..’ooh mchungaji mimi bado sijapata mume wa kunioa’..nani akakuoe wewe msagaji?
Hivi vijitabia vyenu vya kijinga vinawapa laana nyinyi mtazunguka kuombewa huku na kule huolewi! kumbe mchawi ni wewe,umejipa sifa mbaya kisa mitandao ya kijamii..pumbafuuu!!!

Wadada mkimind poa tu,...povu ruksa….ila nimewalenga wale wenye tabia hizi za kijinga kabisaa…
Nyie ambao mna mnajiheshimu na mna hofu na mungu, basi mungu awabariki sana,.. lakini nyie wenye tabia hii mungu akawaokoe aisee maana mnapotea pasipo kujijua...
Mkuu Mimi nadhani hizo Picha kwenye FB ni geresha tu,wengine wameweka picha ya mwanamke lakini ni wazinzi wawili ndio maana wanatumia majina ya kike lakini Ni dume na jike.Wanawavunga wanandoa wenzao.Utakuta mwingine ni mke wa mtu lakini upande wa Pili doezi limeweka Picha ya mdada Kwa hiyo utadhani ni wanawake watupu wanawasiliana kumbe Ni mdada na mchepuko wake,ndio technolojia ya mchepuko ya wadada suiku hizi.Ukiona mwenza wako anjifanya anamaneno mazito na anayemfanya shoga yake kwenye FB fuatilia taratibu utakachokikuta huko utalia kikwenu(kilugha cha kwenu).Luna michezo mibaya huko usiombe .Sipendagi ujinga nimelimwaga hazarani wanaume situkeni
 
Back
Top Bottom