DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
ikiwemo kutumia waganga sio? maana ktk vita vya kiuchumi tutatumia silaha zote.Ila umasikini sio kitu Cha kujivunia.
Tunatakiwa kupigana na umasikini kwa nguvu zote.
wanapataje tabu mkuu embu elezea kidogoUtajiri wa nguvu za giza upoo, ila wahusika wanapata sana tabu ktk uendeshaji wa umiliki wake.
IllusionKwamba hamna pesa za chumaulete? Za majini? Za freemason?
Wanapata sana, sema na wao wanakipata.
Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .
Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .
Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu mapema hilo tusitafute lawama
IllusionUtajiri wa nguvu za giza upoo, ila wahusika wanapata sana tabu ktk uendeshaji wa umiliki wake.
Sawa MtumishiDini na imani ni njia ya kumtafuta Mungu
Na neno la Mungu ndio linatufundisha njia za kufuata ili kupata utajiri na kutukataza makosa ambayo tukiyafanya tutaishi kwenye hali ngumu
Wacha watu wamtafute Mungu ili wajue kuishi kwenye mapenzi ya Mungu wapate baraka zosizochangamana na huzuni
hamna hivyo vitu, tuliaminishwa ujinga tu 😂Kwamba hamna pesa za chumaulete? Za majini? Za freemason?
Wanapata sana, sema na wao wanakipata.
imagine ni mkeo ndo anafanya huu upuuzi 😂
utajiri wa nguvu za giza haupoUtajiri wa nguvu za giza upoo, ila wahusika wanapata sana tabu ktk uendeshaji wa umiliki wake.