Naunga mkono hoja!Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .
Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .
Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu mapema hilo tusitafute lawama
Tumerithi umaskini