Nyie mnaojiita wasomi wa JF.........

Hebu kafanye kazi huko Bank ushapeleka hela? Ushafungua ule mradi ulioupanga tangu mwaka 2015??
 
daaah ! HUWA nasisitiza UKIWA na NJAA usinywe KIROBA ndio madhara yake HAYA .
 
Wewe mwenyewe unajivuna na elimu yako ya kujua what is Physics?

By the way classes zipo hata kama class flani halitusaidii na ukiona unadharaulika nenda ukakae huku madarasani na ww
 
physics deals with mechanical matters and dynamics.......cjui nimepatia

at least,mkuu umekuwa objective,wengine wote ni matusi tu km hawawezi kihoja,wanabaki kumtukana Rebecca...
 
Hii ni depression inaitwa "inferiority complex" ni mbaya sana hii katika mujarabu wa maendeleo ya taifa lolote duniani, mtu anashindwa kufanya kazi,anajawa na hasira kwa kitu ambacho mara zote huwa hakiko real, anaweza akapita watu wakawa wanacheka na mambo yao yeye anafyonza na kung'ong'a na kujenga chuki kwa kuhisi tu kwamba wanamdharau yeye,
"ukitaka kufanikiwa achana na mambo ya watu, fanya mambo yako"
rebecca komaa tu,mbona wengine hatuna elimu zaidi ya wewe lakini tunakomaa tu na mambo yetu
 
Creaming = cramming

Kwani Rebecca 83 una elimu gani?

Maana unajua kuandika na kusoma ina maana hata wewe uliingia kwenye madarasa.

Wadau mtoa mada amesema ana elimu ndogo, sio sahihi kumshambulia maana hata wewe unaemshambulia utaonekana una elimu ndogo.

JF ni jamii, watu wanatofautiana elimu, kazi, hela, umri n.k. Lakini pia, mtoa mada sio vizuri kujifanya mjuaji maana utashindwa kujifunza kutoka kwa wengine.
 

....nitakomaa wangu wala usijali,lakini mkuu kuna depression ya inferiority complex?mnh
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenikumbusha rafiki yangu mmoja,aliniambia rebeca mtu akikuonglesha lugha huijui akianza tu kukuongelesha mwambie enhee make it twice....lol.................na wewe mkuu nakuambia make it twice teh teh....
I am writing and not speaking.

Your thread is purely veritable bugaboo which must be pooh poohed by all great thinkers in jamii forum.
 

thanks,umenijuza hilo neno cramming,elimu yangu anaijua Mwenyezi,nimeanza kusoma recently,baada ya kuona nanyanyasika teh teh.........

najua sipo peke yangu humu... mwenye elimu ndogo,tuko wengi.....

naomba tuufute ujinga ndugu zanguni,huu muda tunaokesha huku JF tungeugawanya na shule zinazotolewa ONLINE....tungekuwa mbali,kuna course zipo FREE mtandao kama www.alison.com au zile za hela ndogo ya malipo www.reeds.co.uk/courses

Thanks
 
Ukiwa hujiamini/hujielewi...siku zote utahisi unaonewa
 
thanks,umenijuza hilo neno cramming,elimu yangu anaijua Mwenyezi,nimeanza kusoma recently,baada ya kuona nanyanyasika teh teh.........

najua sipo peke yangu humu... mwenye elimu ndogo,tuko wengi.....
Inawezekana mwanzoni uliona kuwa wenye elimu ndogo ni wengi kwahiyo ukaridhika na hukufanya jitihada. Lakini umetambua kuwa kila mtu anafanya jitihada mwenyewe kufika anakotaka ndo maana labda wewe unafanya wengi hawafanyi.

naomba tuufute ujinga ndugu zanguni,huu muda tunaokesha huku JF tungeugawanya na shule zinazotolewa ONLINE....tungekuwa mbali,kuna course zipo FREE mtandao kama www.alison.com au zile za hela ndogo ya malipo www.reeds.co.uk/courses

Thanks
Huu ushauri ulioandika huku ungeuweka pale kwenye post yako ingekuwa vizuri zaidi, maana huku ulipouweka sio wengi watauona.

JF ni kuelimishana na huwezi jua wangapi watafaidika na hii taarifa.
 
Mada ni nzuri ila imeharibika kiufundi.Hapa si kama kule unachoweza kuandika chochote na kujibizana tu.Hoja maridhawa ya kufikirisha ndiyo cha msingi.
 

Thanks,

mods naomba muiedit hii topic au km mnaona haifai muifute,sikutaka kabisa matusi humu yajae,na nimesukumwa na jukwaa la love connect,kuona kila mtu anayetafuta mchumba anatanguliza kwanza degree kama kigezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…