Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukisha ifahamu tabia ya mtu hakusumbui nakushauri tuendelee kuchangia mambo muhimu mkuu usitafutiwe ban ya bureeWhat a waste! What a rubbish as if you know the meaning of that slogan
Tulia hivyo hivyo mama yangu nataka tufyatue Katoto kazurihahaaaaa sijarudi mguu sawa,bado nipo mguu upande 😀
Wewe mwenyewe unajivuna na elimu yako ya kujua what is Physics?...kwa nini mnatubeza sisi wenye elimu ndogo??
....Elimu yako inamlisha nani huku JF???
...mna dharau kisa kuingia madarasa,,,,,?
..wapuuzi nyie,hamjui hayo madarasa,ni majengo tu mliingia....
...kama unabisha,uliza wana JF ,hapa,what is physics?...kama utapata majibu ya moja kwa moja????.....na kama ukipata,wote watatoa sentesi moja inayofanana kwa watu wote..as mfumo wetu wa elimu upo sio mwanafunzi kuwa mwelewa,as because the system encourage creaming....
nishavurugwa,😡😡😡😡😡😡😡😡😡
The English says "Not every nonsense is a nonsense".lakini sio upuuzi huu
Hii ni depression inaitwa "inferiority complex" ni mbaya sana hii katika mujarabu wa maendeleo ya taifa lolote duniani, mtu anashindwa kufanya kazi,anajawa na hasira kwa kitu ambacho mara zote huwa hakiko real, anaweza akapita watu wakawa wanacheka na mambo yao yeye anafyonza na kung'ong'a na kujenga chuki kwa kuhisi tu kwamba wanamdharau yeye,
"ukitaka kufanikiwa achana na mambo ya watu, fanya mambo yako"
rebecca komaa tu,mbona wengine hatuna elimu zaidi ya wewe lakini tunakomaa tu na mambo yetu
I am writing and not speaking.hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenikumbusha rafiki yangu mmoja,aliniambia rebeca mtu akikuonglesha lugha huijui akianza tu kukuongelesha mwambie enhee make it twice....lol.................na wewe mkuu nakuambia make it twice teh teh....
Creaming = cramming
Kwani Rebecca 83 una elimu gani?
Maana unajua kuandika na kusoma ina maana hata wewe uliingia kwenye madarasa.
Wadau mtoa mada amesema ana elimu ndogo, sio sahihi kumshambulia maana hata wewe unaemshambulia utaonekana una elimu ndogo.
JF ni jamii, watu wanatofautiana elimu, kazi, hela n.k. Lakini pia, mtoa mada sio vizuri kujifanya mjuaji maana utashindwa kujifunza kutoka kwa wengine.
Na matter ni kitu kilichojaziajazia na kina uwazi teh tehphysics deals with mechanical matters and dynamics.......cjui nimepatia
Inawezekana mwanzoni uliona kuwa wenye elimu ndogo ni wengi kwahiyo ukaridhika na hukufanya jitihada. Lakini umetambua kuwa kila mtu anafanya jitihada mwenyewe kufika anakotaka ndo maana labda wewe unafanya wengi hawafanyi.thanks,umenijuza hilo neno cramming,elimu yangu anaijua Mwenyezi,nimeanza kusoma recently,baada ya kuona nanyanyasika teh teh.........
najua sipo peke yangu humu... mwenye elimu ndogo,tuko wengi.....
Huu ushauri ulioandika huku ungeuweka pale kwenye post yako ingekuwa vizuri zaidi, maana huku ulipouweka sio wengi watauona.naomba tuufute ujinga ndugu zanguni,huu muda tunaokesha huku JF tungeugawanya na shule zinazotolewa ONLINE....tungekuwa mbali,kuna course zipo FREE mtandao kama www.alison.com au zile za hela ndogo ya malipo www.reeds.co.uk/courses
Thanks
Inawezekana mwanzoni uliona kuwa wenye elimu ndogo ni wengi kwahiyo ukaridhika na hukufanya jitihada. Lakini umetambua kuwa kila mtu anafanya jitihada mwenyewe kufika anakotaka ndo maana labda wewe unafanya wengi hawafanyi.
Huu ushauri ulioandika ungekiandika pale kwenye post yako ungewasaidia hao 'wengi' unaowazungumzia, maana huku ulipoiweka wengi hawataiona.
JF ni kuelimishana na huwezi jua wangapi watafaidika na hii taarifa.