Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Ni kweli mmechota fedha nyingi kupitia udhaifu wake.
Ni kweli mmetorosha mali kupitia udhaifu wake.
Ni kweli mmeiba kupitia udhaifu wake
Ni kweli mmenunua mahekalu nje ya nchi kupitia udhaifu wake
Ni kweli mnamtengenezea safari hata zile hazina tija kwa nchi kupitia udhaifu wake.
Watanzania wanateseka
Watanzania hawana umeme wa kutosha
Watanzania Wana uhaba wa sukari
Watanzania wanashinda kwenye foleni
Watanzania wanasafiri kwa nauli za juu
Watanzania hawajui lini train ya mwendokasi itaanza
Watanzania hawajui ni lini mv. Liemba itakarabatiwa.
Watanzania hawajui ni lini mv. Mwanza itaanza safari.
Watanzania wanaonewa.
Watanzania Wana vilio kila Kona mashamba kuporwa, nyumba kuporwa, RUSHWA mahakamani, kutekwa na kusingiziwa kesi nyingi hata hamuelewi Shida zote hizi.
Yaani Watanzania wamekuwa wa kusikilizwa na mwenezi na ndiyo kimbilio lao huko ilihali tuna viongozi lukuki wa kikatiba.
Mama huyu wala hata yeye Hana muda na Watanzania. Yupo busy kujipanga na 2025.
Dunia mapito walikuwepo mafisadi na matapeli kama nyinyi lakini wamepita na wamesahaulika. Enyi matapeli Mpotezeni Ndugu yenu, awaache Watanzania.
Lakini atawakumbuka siku za mwisho wa uhai wake kwamba walinipa dhamana nikajichanganya naomba wanisamehe.
Mwisho