Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.