Inabidi na dau liongezeke sasa.Kuacha haiwezekani, ndio tulivyoumbwa
Hakika, wale waliokuwa wanatuma bila ya kutokea wajitahidi waanze kutuma na ya kutolea.Inabidi na dau liongezeke sasa.
Tena wawe na heshima na adabu zote.Hakika, wale waliokuwa wanatuma bila ya kutokea wajitahidi waanze kutuma na ya kutolea.
Ndio,itabidi muanze kuwatumia wanaume wanaolalamika Kama huyu mleta Uzi na ya kutolea pia usisahauWacha we!! Kwahiyo ghafla tumekuwa vichwa vya familia eeh?
Aisee!!Ndio,itabidi muanze kuwatumia wanaume wanaolalamika Kama huyu mleta Uzi na ya kutolea pia usisahau
Kiufupi, wanawake tukiwa tunaongea inabidi wakae kimya sasa!!!!Tena wawe na heshima na adabu zote.
Kwanini macho yako yanadistract mtu?Wacha ubahili[emoji23]
Japo sina, hebu niombe nami nijihisi mtu katika watu... Kuna karaha kake kakupigwa mzinga kutoa ama kujitahidi kuupangua mzinga..Kuacha haiwezekani, ndio tulivyoumbwa
Msitufanyie hivyo, wana wa wenzenu.Inabidi na dau liongezeke sasa.
Ila kama bimkubwa atalegeza kamba majibu ya kuna ishu naisikilizia, nina cash tu niko porini hakuna mawakala wa huduma za kipesa, airtel money yangu imefungiwa ilikuwa kama na laki 7 na upuuzi hiv siku ya 3 hiv sijapata nafasi ya kwenda ofisini kwao.. N.k n.kHakika, wale waliokuwa wanatuma bila ya kutokea wajitahidi waanze kutuma na ya kutolea.
Makaveli dia, nipo njiani huku nimesahau wallet home, naomba unitumie kiasi kama unayo lakini, hii "kama unayo" huwa ni kimsemo cha kukulegezaJapo sina, hebu niombe nami nijihisi mtu katika watu... Kuna karaha kake kakupigwa mzinga kutoa ama kujitahidi kuupangua mzinga..
Kabisa, hadi tuwaruhusu kuongea.Kiufupi, wanawake tukiwa tunaongea inabidi wakae kimya sasa!!!!
Hata sisi ni wana wa wenzenu mjue, msitufanyie mambo meusi ya kutuma bila ya kutolea.Msitufanyie hivyo, wana wa wenzenu.