Nyie mnaoomba na ya kutolea

Nyie mnaoomba na ya kutolea

Makaveli dia, nipo njiani huku nimesahau wallet home, naomba unitumie kiasi kama unayo lakini, hii "kama unayo" huwa ni kimsemo cha kukulegeza
Pole dia, nimekuja kwa wakala hapa anadai salio la kutosha mamii, vumilia nimtume mtu akakufanyie mpango, si unajua mie hapa ninapoishi hakuna mawakala mamii..
 
Hata sisi ni wana wa wenzenu mjue, msitufanyie mambo meusi ya kutuma bila ya kutolea.
Mshukuru hicho hicho kidogo tunachowapa..
Wakat mwingine hapo tunakuwa tushatoa kuliko uwezo wetu, basi tu hamfikirii vingi[emoji85]
 
Wacha we!! Kwahiyo ghafla tumekuwa vichwa vya familia eeh?
Vichwa vya familia pekee ndio vinatuma na ya kutolea? Huo mstari uko Mathayo sura ya ngapi?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nakusalimia mkuu!
 
Vichwa vya familia pekee ndio vinatuma na ya kutolea? Huo mstari uko Mathayo sura ya ngapi?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nakusalimia mkuu!
Mlipoambiwa mtakula kwa jasho mlifikiri ni kubet?
 
Mshukuru hicho hicho kidogo tunachowapa..
Wakat mwingine hapo tunakuwa tushatoa kuliko uwezo wetu, basi tu hamfikirii vingi[emoji85]
Endeleeni kuota zaidi na zaidi, nanyi mtabarikiwa sana.
 
Umepokea Tshs173,500.00 kutoka kwa Wakala: KANYELA-MUMO MASULUPWETE. Salio Tshs177,236.00. Muamala No: CI210303.1943.B89048.
Ooh sorry Ile msg nlikosea nlikua namtumia rafiki angu mwajei, ahsante nimeiona ila mbona haujaweka na ya kutolea?
 
Back
Top Bottom