Nyie niitieni George

Nyie niitieni George

Pambana na hali yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ulivyokuwa unatudolishia ulifikiri Mungu babu yako eeh?
Mimi ni nani mpk nishindwe kuzungumza na mizimu..?😂
Mimi ni Nani mpk nisijui kuroga..? Subiri wiki haiishi narudi natamba hapa..😊
 
Duh
20210919_214017.jpg
 
Mimi ni nani mpk nishindwe kuzungumza na mizimu..?[emoji23]
Mimi ni Nani mpk nisijui kuroga..? Subiri wiki haiishi narudi natamba hapa..[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado utaachwa tu!
 
Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn
Mekutana na mtu anaitwa George n,
Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke
Nyie nimeview profile ya George jamani am still viewing George's pic, and there's no way naweza mwambia ntaonekana kamalaya basi meishia tu kusave pic ake na kuiangilia
Nyie niitieni George mwambieni he's making me sleepless [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kuwa makini huyo George ndie yule tapeli alietangazwa hapa....
 
ngoja nicreate akaunt yenye picha ya jojiii[emoji23][emoji23][emoji23]..then namuibukia huyu pm, yajayo nitaleta mlejesho humu, yan andaeni amapianoo [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom