Nyie niitieni George

Nipe hiyo kazi hutojuta, nakuunga fasta
 
Vipi reception yako(sura na shape in general)? Unafanania kuwa na George? Ungetuma pic yako full tuione na hiyo ya George ili tupime mzani, huenda si level zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa fursa, hii kitu haijachakatwa muda. Imeanza kupenda na kutamani mapicha ya mitandaoni.

Ngoja nkushtulie, Zero IQ njoo unatafutwa
 
Tupiamo kapicha ka Joji tumlole. 😜😜😜

 
Madam secretary
Rudi kule LinkedIn, msalimie tuu, yy atajiongeza
 
Kama George hapatikani basi si ugawe tu hata kwa vijana wa hapo mtaani kwako? Umewagawia wangapi kabla ya kutaka kumpa George, jiulize hili kwanza.
 
Kama George hapatikani basi si ugawe tu hata kwa vijana wa hapo mtaani kwako? Umewagawia wangapi kabla ya kutaka kumpa George, jiulize hili kwanza.
The fact that tulikua tukigawa
Haimaniishi tuendelee kugawa ndio maana tunakua tunajua tulikosea and it's never too late to change
 
The fact that tulikua tukigawa
Haimaniishi tuendelee kugawa ndio maana tunakua tunajua tulikosea and it's never too late to change
Tabia haina dawa ila naelewa pia kama unachukua likizo ya muda ili umpe George ambaye naye akija gundua tabia yako ya huko nyuma anakuacha solemba
 
Dada tuliza moyo ufanye maamuzi mazuri we nenda hovyo mapenzi sio chai dada!,mi sikukatazi ila kuwa makini penye hisia weka na akili.😅

Kwa Mara ya kwanza nungunungu nimetoa ushauri mpk moyo wangu umesema yes..😂
Kwamba moyo umesema
"Bora umenitoa mlisi kenge wewe, ilikuwa mimi moyo nizime nikiwa nna majuto kuwekwa mwilini mwako".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…