nyie STARTIMES mbona wezi hivi?

nyie STARTIMES mbona wezi hivi?

DARKMAN

Senior Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
122
Reaction score
85
Nimenunua decoder yenu tar 15 jan, eti jana mmenikatia service wakati mwezi haujafika. halafu inaonekana hata kukata kwenu mnakata manually maana kwanza mnazima service kwa muda mrefu. kwani hamna program ya kuweza kumkatia mtu tarehe yake ya kulipia ikifika?

sasa kwa mpango wenu huu silipii tena naendelea na dstv, kwanza channel niliyoitaka ni ITV na Channel10 ambazo ni bure hivyo wala siwafuati kuja kulalamika. Decoder gani hauwezi kuangalia hata mpira wa Africa, wakati wenzenu dstv ukilipia compact ya elf 40 unaona mipira yote na vipindi vyake vya ukweli NAT GEO, DISCOVERY WOLD, CNN,BBC,ALJEZEERA, CBS REALITY.

Startimes bakini na ungese wenu
 
sisi wa songea raha madishi yetu ya free to air km kawa tunapeta. Mkubwa fanya mpango ukiuze
 
Back
Top Bottom