Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service

Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya ku-unscribed moja kwa moja mpaka niwapigie?

Kwanza kwa nini mruhusu kampuni kufanya hivi bila consent ya mteja wenu?
 
The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service

Yaan mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya ku-unscribed moja kwa moja mpaka niwapigie .?

Kwanza kwa nini mruhusu kampuni kufanya hivi bila consent ya mteja wenu .?
Mdundo, enjoy
 
Serikali ilitakiwe iwe na sheria ya kushitaki makampuni yanayo waibia wananchi lakini Serikali haiwezi maana Serikali yenyewe ni wezi wa kura na kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom