The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service
Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya ku-unscribed moja kwa moja mpaka niwapigie?
Kwanza kwa nini mruhusu kampuni kufanya hivi bila consent ya mteja wenu?