Nyie wadada majirani zetu msiwaambukize na dada zetu hii tabia.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia.

Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia saa,boxer,chupi(kwa wale wanaume wavaa chupi), nguo n.k.

Wadada wa kibongo sidhani kama mna tabia ya kuvidai baada ya mahusiano kufika kikomo. Kama wanayo tupeane updates.

Wenzenu wa Kenya hawaachi chochote...kama suruali imechanika utadaiwa mshono wa fundi. Tunachowaomba tu msiwafundishe dada zetu.

Cc.
pingli-nywee
MK254
Tim Choice
 
bado na kichapo wanakula wakichelewa kurudi 😂 😂
mara10 mtu akuite mwanaume wa dar kuliko mtu akuite mwanaume wa kenya!!!
 
bado na kichapo wanakula wakichelewa kurudi [emoji23] [emoji23]
mara10 mtu akuite mwanaume wa dar kuliko mtu akuite mwanaume wa kenya!!!
Kwa hiyo bora wa kuliko wa Kenya mkuu?

Haha...
 
Groups za kenya huwa zinanitoaga kamasi kwa kucheka.
 
Wakenya mi nawapenda sana kwakweli, hawataki ujinga ujinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimewapenda
 
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia.

Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia saa,boxer,chupi(kwa wale wanaume wavaa chupi), nguo n.k.

Wadada wa kibongo sidhani kama mna tabia ya kuvidai baada ya mahusiano kufika kikomo. Kama wanayo tupeane updates.

Wenzenu wa Kenya hawaachi chochote...kama suruali imechanika utadaiwa mshono wa fundi. Tunachowaomba tu msiwafundishe dada zetu.

Cc.
pingli-nywee
MK254
Tim Choice

Asante kwa kuniita, ila baada ya kutazama video iliyovuja ya Amber Rutty, nimekua na mtazamo tofauti kuwahusu nyie na dada zenu hao, mnachowafanya sio kabisa....hehehehe
 
Mara nyingine huwa nasoma story zao Ig kwenye EastAfrica Moms Chat eeeeeh!
Huko huwafaidi kitu facebook kuna kilimani mums and dads original, kuna kilimani mums and dads uncensored, kuna kilimani mums udaku zone hizo groups 3 ni balaa
 
Asante, nitawaangalia
 
Back
Top Bottom