Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia.
Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia saa,boxer,chupi(kwa wale wanaume wavaa chupi), nguo n.k.
Wadada wa kibongo sidhani kama mna tabia ya kuvidai baada ya mahusiano kufika kikomo. Kama wanayo tupeane updates.
Wenzenu wa Kenya hawaachi chochote...kama suruali imechanika utadaiwa mshono wa fundi. Tunachowaomba tu msiwafundishe dada zetu.
Cc.
pingli-nywee
MK254
Tim Choice