aah kabisa π em vuta picha wale wanaume walevi wa kule rombo wangekua wakenya..Kwa hiyo bora wa kuliko wa Kenya mkuu?
Haha...
Wanavituko pindukiaGroups za kenya huwa zinanitoaga kamasi kwa kucheka.
Hebu tuache na Rombo yetu bhanaaah kabisa π em vuta picha wale wanaume walevi wa kule rombo wangekua wakenya..
Zikianza zile challenges zao, na revenge za wamama unaweza kuonekana kichaa unacheka peke yako.Wanavituko pindukia
bado na kichapo wanakula wakichelewa kurudi π π
mara10 mtu akuite mwanaume wa dar kuliko mtu akuite mwanaume wa kenya!!!
Wangekula bakora hadi akili ziwakae sawa. Wanatuaibishi tu taifa.aah kabisa π em vuta picha wale wanaume walevi wa kule rombo wangekua wakenya..
Jandoni tulifundishwa mwanamke akiachwa anadaiwa watoto tu basi. Chuni, dela,kitenge au mkufu uliomnunulia karume huu unamwachia.
Kwenye vizawadi kuna kinadada nao huwa wanajitutumua anakununulia saa,boxer,chupi(kwa wale wanaume wavaa chupi), nguo n.k.
Wadada wa kibongo sidhani kama mna tabia ya kuvidai baada ya mahusiano kufika kikomo. Kama wanayo tupeane updates.
Wenzenu wa Kenya hawaachi chochote...kama suruali imechanika utadaiwa mshono wa fundi. Tunachowaomba tu msiwafundishe dada zetu.
Cc.
pingli-nywee
MK254
Tim Choice
Mara nyingine huwa nasoma story zao Ig kwenye EastAfrica Moms Chat eeeeeh!Groups za kenya huwa zinanitoaga kamasi kwa kucheka.
Rombo juu zaidiHebu tuache na Rombo yetu bhana
Huko huwafaidi kitu facebook kuna kilimani mums and dads original, kuna kilimani mums and dads uncensored, kuna kilimani mums udaku zone hizo groups 3 ni balaaMara nyingine huwa nasoma story zao Ig kwenye EastAfrica Moms Chat eeeeeh!
Asante, nitawaangaliaHuko huwafaidi kitu facebook kuna kilimani mums and dads original, kuna kilimani mums and dads uncensored, kuna kilimani mums udaku zone hizo groups 3 ni balaa