Nyie wadada mnaosukana pembeni ya barabara muwe mnabana miguu yenu bodaboda angeniua leo

Kuna mmoja juzi alikua anaosha vyombo anaona kabisa tunamuangalia ila hana habari,aibu tuliiona sisi
 
Daaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]
 
😂😂
Shukuru huyo bodaboda alikuwa hana akili kama zangu!.. sahivi ungekuwa tumekuandikia RIP halafu mi ningeumia sikio tu😅
 
Mkuu kumbe ulikuwa ni wewe leo ungenitoa roho
 
Kuna mwngine jana anapika kakaa nje ni njiani kavaa kasketi kafupi yupo busy na simu kuchati kajiachia kama yupo ndani ilibidi nimwambie dada kaa vizuri maana kila aliekuwa anapita pale nadhani alimuona.
 
Daaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]

Tunazoonake hizo zako
 
Ni kweli wanamapaja mazuri Sana ila mbona wakichinja hawasahau kuyabana Kama sio makusudi?
 
Daaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]
Kashimbe, dah jina LA avatar yako kiboko..

I hope you know the meaning.. Wasukuma oyeee
 
Daaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]
Tangazo..ulipie hili
 
The Boss we ni mmoja wapo wa wale walionifanya nijiunge JF,Barafu,Bak,miss chagga,ushimen,mzigua,miss natafuta,na wengine wengi
 
kuna wale wapo magomeni moroko kushoto ukitokea hospitali, hatari sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…