Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Weka picha tuoneDaaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha tuoneDaaah,pole sana mkuu,huyo bdboda ana ugwadu sna nn?yan paja tu anataka kudodosha abiria,loooh huyo mgeni mjin,hizi zangu si ataua mtu![emoji2956][emoji2956][emoji1787][emoji39]
😁😁😁, Eti ungeumia sikio tu..lol😂😂
Shukuru huyo bodaboda alikuwa hana akili kama zangu!.. sahivi ungekuwa tumekuandikia RIP halafu mi ningeumia sikio tu😅
OohooThe Boss we ni mmoja wapo wa wale walionifanya nijiunge JF,Barafu,Bak,miss chagga,ushimen,mzigua,miss natafuta,na wengine wengi
Aliwafanyia makusudi huyokuna mmoja juzi alikua anaosha vyombo anaona kabisa tunamuangalia ila hana habari,aibu tuliiona sisi
siasa mbaya sana je?The Boss we ni mmoja wapo wa wale walionifanya nijiunge JF,Barafu,Bak,miss chagga,ushimen,mzigua,miss natafuta,na wengine wengi
Mshana junior,manengelo,Moii,nisiwe mwongo,siasa mbaya sana je?
Pm yako iko wazi nataka kuja kukusalimu HabibtyMshana junior,manengelo,Moii,nisiwe mwongo,
Mkuu ila ujumbe umeupokea na kuuelewa?? 😅😅Pole sana
Wew ni shidaqqaThe Boss we ni mmoja wapo wa wale walionifanya nijiunge JF,Barafu,Bak,miss chagga,ushimen,mzigua,miss natafuta,na wengine wengi
Bora apofuke ila asilaanike. Unachungulia watu wakiwa uchiUwe unafumba macho utapofuka!