Nyie wadada wa JF, mnapenda wanaume wa Dar au wa mikoani?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Naamini kila mtu yupo sawia kabisa kama wine nyekundu.

Hapa jukwaani, imewahi kuzuka mijadala mingi mno kuhusu wanaume wa Dar na wa mikoani. Tumetupiana sana vijembe na dharau.

Wanaume wa Dar wanajinadi wao ndo bora zaidi na wanaume wa mikoani wanajinadi kwa upande wao ndo bora zaidi.

Mjadala huu haukuwahi kufika hitimisho maana, alikosekana judge wa kufanya maamuzi. Kwa kawaida, mtu huwezi kuji-judge mwenyewe.

Leo nataka wadada wa humu mtoe hitimisho, je, mnapenda wanaume wapi kati ya wa dar au wa mikoani?

Watakaoonekana wanapendwa zaid ndo bora.

Kwa upande wangu mm ni mwanamume wa dar na ninapendwa sana na kipenzi changu Hajar.

Ninatumai kuwa wadada mtakua honest ktk hili. Hajar nawe uwe honest km wanipenda kweli au kuna mwingine wa mikoani unaemtamani
 

Binafsi labda tukianzia Kwako Wewe unapenda Mwanaume wa Dar au wa Mikoani awe karibu au nyuma yako Mkuu?
 
Swali lako tata mzee. Em iweke vizuri ieleweke

Kwa mfano labda ikitokea ukawa katika Foleni yoyote ile Je ungependa ni Mwanaume gani awe amesimama tena ' Kiukakamavu ' kabisa nyuma yako au upande wako wa nyuma kati ya wa Dar es Salaam au wa Mikoani? Natumai sasa Swali langu utakuwa umelielewa vyema na bila shaka utanipa jibu murua / sahihi kabisa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…