Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ndio si ndio la utotoni[emoji23][emoji23][emoji23]hivi jina lako lingine ni bora ee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio si ndio la utotoni[emoji23][emoji23][emoji23]hivi jina lako lingine ni bora ee...
Alaaa,...kumbee[emoji28]Ndio si ndio la utotoni
shukrani ukaribie baada ya Magharib InshaallahKwema kabisa mkuu. Vipi khali?
Ila hujanijib swali langu
ambaye anapatikana mkoani pekeee sio wale watoboa pua kama wa darNapenda mwanaume bora.
Haha... Jibu majumui sana hili, kuwa specific mkuuKokote Tanzania[emoji4]
Ww sasa unanipeleka kwenye ukabila...Haha... Jibu majumui sana hili, kuwa specific mkuu
Wrong question hii. Uzi upo specific kwa wadada kutoa judgment.Kwa mfano labda ikitokea ukawa katika Foleni yoyote ile Je ungependa ni Mwanaume gani awe amesimama tena ' Kiukakamavu ' kabisa nyuma yako au upande wako wa nyuma kati ya wa Dar es Salaam au wa Mikoani? Natumai sasa Swali langu utakuwa umelielewa vyema na bila shaka utanipa jibu murua / sahihi kabisa Mkuu.
But hujatoa judgment [emoji23]Nimejikuta tu nauchekea uzi
Wrong question hii. Uzi upo specific kwa wadada kutoa judgment.
Wanaume wenye chembe za udada ndo wapojeDuuh! Mie naona mwanaume akishakuwa anajitambua na kuutendea haki uanaume wake pasi kuwa na chembe za udada basi huyo ndiye mwanaume bora na anayefaa.
Haijalishi ni wa Dsm au Mkoani.
Nikaribie wapishukrani ukaribie baada ya Magharib Inshaallah
Ambae ni mimi[emoji122] [emoji122] hongera kwa uchaguzi sahihiNapenda mwanaume bora.
karibia ftar tuNikaribie wapi
Inaonekana unapenda sana kusimamiwa nyuma na wanaume sio?Kwa mfano labda ikitokea ukawa katika Foleni yoyote ile Je ungependa ni Mwanaume gani awe amesimama tena ' Kiukakamavu ' kabisa nyuma yako au upande wako wa nyuma kati ya wa Dar es Salaam au wa Mikoani? Natumai sasa Swali langu utakuwa umelielewa vyema na bila shaka utanipa jibu murua / sahihi kabisa Mkuu.
Hapana, wewe upo convinced sana na mwanamume wa dar au mkoani?Ww sasa unanipeleka kwenye ukabila...
Nipo hapaMwanaume Wa Dar.
Swali la kwanza lilikua tata. That's why nikataka maelezo ili nielewe ndo nikupe jibuBarida / Sawa Mkuu ila nadhani kama ulijua kuwa ni Wrong Question tokea mapema tu basi usingenipotezea muda wangu nikupe ufafanuzi wa Swali lako uliloniuliza.
Swali la kwanza lilikua tata. That's why nikataka maelezo ili nielewe ndo nikupe jibu
Shukran mkuu. Nitakuja. Umuhimu direction tukaribia ftar tu